Ndugu wa mume kiboko aisee

Ndugu wa mume kiboko aisee

ha haaaaa, hakuna chezeya mamsap!
salama shem?
wengine kwetu tangazo limebandikwa mlangoni....
"nyumba hii ni ya FP ikisaidiwa na teja"
kila anayekuja ni sawa na mtoto tu ambaye anasubiri kuambiwa kabandike maharage

shwari sana Shem. Mpango ni kuzingatia vigezo na masharti. Lazma b mkubwa awe na sababu nzto ya kukaa more than a week
 
Last edited by a moderator:
FP my twin sio uchungu wa mwana huu wewe hujui tu huu ni ujinga tatizo wameshindwa nielewa mimi huwa nacheka tu na siongei mara mbili napita na vyangu. Jamaa kaingia kamsalimu huyo kamwacha kaingia chumbani hahahahahahahahah lol anakwepa kuwa alikuwa hasubiriwi hehehe mbavu zangu mie.mimi simwambii mtu akalale nazima tu taa.
hiyo nimeipenda twin,
ya kuzima taa tu....
sasa si atajigonga na giza jamani?
 
shwari sana Shem. Mpango ni kuzingatia vigezo na masharti. Lazma b mkubwa awe na sababu nzto ya kukaa more than a week
Ila kweli jamani.
labda awe anaumwa, au kuja kusalimia mara moja tu. ila ya kuhamia!
 
Jaman mie naona ni kutojiamini, kama kaamua kumsubiri mwanae mwache akae we kalale kama umechoka.
Ingekuwa mama yako amekusubiri umetoka kazini na anataka kuongea nawe ingekuwa kosa? Kweli nyumba yako himaya yako , ukweli unabakia kuwa duniani tunapita hamna haja ya kuchukulia maisha too serious!!
 
Sasa Nicas Mtei ndia mamayako kaja kwako na mbwembwe hizo utafanyaje?
 
Last edited by a moderator:
wanajidaigi hawajui mipaka.....
utasikia nipo kwangu, kwa mwanangu, lol!

thubutu nina mipaka mimi sijawahi gombana na mtu na sintokaa kamwe namwambia mke mwenzangu wiki hii zamu yako chumbani twende hahahahah tafsida sinaga ng'o
 
Sasa Nicas Mtei ndia mamayako kaja kwako na mbwembwe hizo utafanyaje?

Hahaha. Nashukuru Mungu nimempata mama muelewa na mwenye busara. Kamwe hawez na hajawah kufikia level hyo na hata akija basi nyumba huwa na furaha tupu.. Kama angekuwa anakuja na kuwa kero hvyo nisingesita kumwambia ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Jaman mie naona ni kutojiamini, kama kaamua kumsubiri mwanae mwache akae we kalale kama umechoka.
Ingekuwa mama yako amekusubiri umetoka kazini na anataka kuongea nawe ingekuwa kosa? Kweli nyumba yako himaya yako , ukweli unabakia kuwa duniani tunapita hamna haja ya kuchukulia maisha too serious!!

sio kuyachukulia too serious hapana hana analomwambia mbwembwe tu kujitoa ufahamu tu.na huyu mama ni msomi tena aliwahi kuwa mhadhiri st.augustine.
 
Maongezi gan kila siku? Au ndo anafunda kukaa na mke?
 
Hahaha. Nashukuru Mungu nimempata mama muelewa na mwenye busara. Kamwe hawez na hajawah kufikia level hyo na hata akija basi nyumba huwa na furaha tupu.. Kama angekuwa anakuja na kuwa kero hvyo nisingesita kumwambia ukweli.

ni kyasaka ndio sababu.
 
Hahaha. Nashukuru Mungu nimempata mama muelewa na mwenye busara. Kamwe hawez na hajawah kufikia level hyo na hata akija basi nyumba huwa na furaha tupu.. Kama angekuwa anakuja na kuwa kero hvyo nisingesita kumwambia ukweli.

ni kyasaka /manyamusi ndio sababu.
 
Ooohh Nivea unaanza kumwaga kuku wengi kwenye mchele mwingi, yaani yule mama retired lecturer ndio anakatabia hako? Mbona hafananii kabisa jamani?

Back
Top Bottom