Kuna mabasi mawili yakiwa na familia inyojiita ya babu yanaelekea kwa babu yakitokea mbeya
madai yao hawendi kutibiwa wanaenda mtembelea ndugu yao.
Wengine wanadai ni mjomba wao..
Wengine binam yao...
Wengine babu yao...
Wengine kaka yao ..
Sasa sijui hili tamko la serikali linagusa hata ndugu wa babu?
Maana ndugu zangu hawa wanyakyu kwa extended family mh!
Wanataka dawa hao..Si kweli kuwa wanaenda kumsalimia!..Wanyakyusa wanaendekeza sana nasaba za mbali, na kukiwa na msiba wanakaa mwezi matangani kwa mfiwa!
Lakini kumtembelea Ndugu yako hairuhusiwi?
Au kuna limit ya idadi ya watu kumtembelea ndugu yao kwa wakati mmoja?
Kuna mabasi mawili yakiwa na familia inyojiita ya babu yanaelekea kwa babu yakitokea mbeya
madai yao hawendi kutibiwa wanaenda mtembelea ndugu yao.
Wengine wanadai ni mjomba wao..
Wengine binam yao...
Wengine babu yao...
Wengine kaka yao ..
Sasa sijui hili tamko la serikali linagusa hata ndugu wa babu?
Maana ndugu zangu hawa wanyakyu kwa extended family mh!
Leo kulikuwa na ubishi mkubwa na ugonvi ndani ya bus, wangoni wanadai ni mngoni anaitwa sapila na wahehe wanadai ni mhehe anaitwa se sapile !
Weweeeee...Nani kakuita hapa wewe?....Hii haikuhusu bana!...acha tunaojua tujadili!..Iweje wamtembelee wakati amekuwa selebu?..Miaka yote hawakumuona?...
HTML:
Nilikuja kumtafuta wiselady na maty nikakumbana na hii, uniwie radhi nimekoma, ingawa hao wanyak, wana haki ya kumtembelea ndugu yao na polisi wasiwazuie maana hiyo ni haki yao ya kikatiba.
Hki ya kikatiba? Nyumba ya bau haina facilities za kutosha wamekurupuka
HTML:
Watakuwa wanalala nje, si wako na mabasi? halafu si watamsalimia ndugu yao kwa masaa kadhaa au siku moja tu halafu wataondoka kurudi Mbeya? sasa hizo facilities za nini?