Ndugu Pena, unoko wako utakuponza

Ndugu Pena, unoko wako utakuponza

chaliko

Senior Member
Joined
Apr 1, 2019
Posts
180
Reaction score
804
Habari Ndugu zanga wa JF?

Nadhani wote tunafahamu kuwa Ndugu PENA hivi majuzi tu alikuwa na Mazungumzo na Mzee Meko.

Dhana ya Mazungumzo ni kuomba Msamaha ( Wengi tulijulishwa Hilo).

Lakini kabla ya Ndugu PENA Kuna wengine pia walienda kuomba Msamaha.

Njia ya kuomba msamaha kwa Ndugu PENA ilikuwa ni mgumu mno kuipata mpaka pale alipoahidi kumnyetisha mambo nyeti Mzee Meko.

Alipokutana na Mzee Meko, Ndugu PENA alisema mengi ikiwamo mipango ya Siri iliyoratibiwa na watu wa Kundi Fulani ambalo lilidhamiria kumng'oa Mzee Meko.

Baada ya kuropoka yote kwa Mzee Meko PENA ALISAMEHEWA na KUAHIDIWA MAMBO KADHAA. Lakini pia Ndugu PENA amepewa jukumu zito la kusaka habari nyeti na kumpelekea Mzee Meko.

Hebu jiulize;
Kwa nini wale wengine wote walipomaliza kuomba msamaha hakuna impact iliyotoke.

Ila huyu siku chache tu baada ya kuzungumza na Mzee Meko tumeshuhudia mabadiliko makubwa tena mengine bado yanakuja.

ANGALIZO KWA WANA-SIASA

Ndugu PENA amekuwa MNOKO tena MNOKO kwa MAMBO NYETI.

Ndugu PENA msimuamini tena maana Sasa amekuwa INFORMER wa Mzee Meko.

Ndugu PENA Siri uliyofichua haitakuadhiri leo ila kesho usiyo ijua.

Nawasilisha.
 
HUYU PENA SIKU ZOTE NI MNOKO MKUU HANA UJASIRI WA KUSIMAMA IMARA NA KUTETEA UTU WAKE.
Hakuna mtu mbaya kama anaekutwa na majanga afu anawachoma na wenzie pia.Watu kama hao ni wa kuwa mbali nao
 
Usizunguke zunguke, mambo hatari kwa jamii yapaswa kuwekwa wazi ili kuiokoa na hatari.
Unataka kusema watu wakae mbali sana na mzee wa goli la mkono bwana Nnauye kwani ni INFORMER aliyetayari hata kuwatungia uongo wenzake ili tumbo lake la kitambi lisikose mlo?
Kwa hiyo hata wabunge wenzie pale bungeni wakiwa kantini wakimuona anakuja mezani wakimbie?
Pole sana mzee Membe kwa vijana wako kutoka kuwa sukari hadi kuwa ammonia sulphate
 
Chadema mnateseka sana na msamaha wa Nape Nnauye!
 
Meko nae ni zoba. adui anawasaliti wenzake sio mtu iko siku na wewe atakusaliti.

ingekuwa mkwere wala ata asinge hangaika ungekuta anacheka tuu. ila huyuu anae penda kuabudiwa imekuwa jambo la kitaifa.

kuna haja ya maraisi kusomea course fupi ya uongozi.
 
Habari Ndugu zanga wa JF?

Nadhani wote tunafahamu kuwa Ndugu PENA hivi majuzi tu alikuwa na Mazungumzo na Mzee Meko.

Dhana ya Mazungumzo ni kuomba Msamaha ( Wengi tulijulishwa Hilo).

Lakini kabla ya Ndugu PENA Kuna wengine pia walienda kuomba Msamaha.

Njia ya kuomba msamaha kwa Ndugu PENA ilikuwa ni mgumu mno kuipata mpaka pale alipoahidi kumnyetisha mambo nyeti Mzee Meko.

Alipokutana na Mzee Meko, Ndugu PENA alisema mengi ikiwamo mipango ya Siri iliyoratibiwa na watu wa Kundi Fulani ambalo lilidhamiria kumng'oa Mzee Meko.

Baada ya kuropoka yote kwa Mzee Meko PENA ALISAMEHEWA na KUAHIDIWA MAMBO KADHAA. Lakini pia Ndugu PENA amepewa jukumu zito la kusaka habari nyeti na kumpelekea Mzee Meko.

Hebu jiulize;
Kwa nini wale wengine wote walipomaliza kuomba msamaha hakuna impact iliyotoke.

Ila huyu siku chache tu baada ya kuzungumza na Mzee Meko tumeshuhudia mabadiliko makubwa tena mengine bado yanakuja.

ANGALIZO KWA WANA-SIASA

Ndugu PENA amekuwa MNOKO tena MNOKO kwa MAMBO NYETI.

Ndugu PENA msimuamini tena maana Sasa amekuwa INFORMER wa Mzee Meko.

Ndugu PENA Siri uliyofichua haitakuadhiri leo ila kesho usiyo ijua.

Nawasilisha.
Hizi zote ni hisia,hakuna aliyekuwepo wala kusikia mazungumzo yao.Tuache kutenda dhambi za Uzushi
 
HUYU PENA SIKU ZOTE NI MNOKO MKUU HANA UJASIRI WA KUSIMAMA IMARA NA KUTETEA UTU WAKE.
Hakuna mtu mbaya kama anaekutwa na majanga afu anawachoma na wenzie pia.Watu kama hao ni wa kuwa mbali nao
Maajabu ni kuwa, huyo mnayesema ni baba yake Col. Moses Nnauye hakuwa mtu legelege bali shujaa wa kisiasa.
Au Nape ni yale mambo ya mwenge ambayo wazee walikuwa wakiambiwa "toka siku ile sioni siku" wakati wamepita wengi?
Kama yale ya Le Mutuz
 
Habari Ndugu zanga wa JF?

Nadhani wote tunafahamu kuwa Ndugu PENA hivi majuzi tu alikuwa na Mazungumzo na Mzee Meko.

Dhana ya Mazungumzo ni kuomba Msamaha ( Wengi tulijulishwa Hilo).

Lakini kabla ya Ndugu PENA Kuna wengine pia walienda kuomba Msamaha.

Njia ya kuomba msamaha kwa Ndugu PENA ilikuwa ni mgumu mno kuipata mpaka pale alipoahidi kumnyetisha mambo nyeti Mzee Meko.

Alipokutana na Mzee Meko, Ndugu PENA alisema mengi ikiwamo mipango ya Siri iliyoratibiwa na watu wa Kundi Fulani ambalo lilidhamiria kumng'oa Mzee Meko.

Baada ya kuropoka yote kwa Mzee Meko PENA ALISAMEHEWA na KUAHIDIWA MAMBO KADHAA. Lakini pia Ndugu PENA amepewa jukumu zito la kusaka habari nyeti na kumpelekea Mzee Meko.

Hebu jiulize;
Kwa nini wale wengine wote walipomaliza kuomba msamaha hakuna impact iliyotoke.

Ila huyu siku chache tu baada ya kuzungumza na Mzee Meko tumeshuhudia mabadiliko makubwa tena mengine bado yanakuja.

ANGALIZO KWA WANA-SIASA

Ndugu PENA amekuwa MNOKO tena MNOKO kwa MAMBO NYETI.

Ndugu PENA msimuamini tena maana Sasa amekuwa INFORMER wa Mzee Meko.

Ndugu PENA Siri uliyofichua haitakuadhiri leo ila kesho usiyo ijua.

Nawasilisha.
Wahenga walishasema "adui yako muombee njaa tu" mengine yatajipa
 
A long as wanaogomba ni

As long as wanaccm waliotufikisha hapa wote kwa maslah yao ndio haoa hao wanaoparuana sisi inatuhusu nini kwa mfano.?

Wacha wachomane visu hata wakifa watazikwa tu na badae jehanam inawasubiri, hao watu wote ni wazandiki wauwaji na watekaji, ni wadhalimu .
 
Habari Ndugu zanga wa JF?

Nadhani wote tunafahamu kuwa Ndugu PENA hivi majuzi tu alikuwa na Mazungumzo na Mzee Meko.

Dhana ya Mazungumzo ni kuomba Msamaha ( Wengi tulijulishwa Hilo).

Lakini kabla ya Ndugu PENA Kuna wengine pia walienda kuomba Msamaha.

Njia ya kuomba msamaha kwa Ndugu PENA ilikuwa ni mgumu mno kuipata mpaka pale alipoahidi kumnyetisha mambo nyeti Mzee Meko.

Alipokutana na Mzee Meko, Ndugu PENA alisema mengi ikiwamo mipango ya Siri iliyoratibiwa na watu wa Kundi Fulani ambalo lilidhamiria kumng'oa Mzee Meko.

Baada ya kuropoka yote kwa Mzee Meko PENA ALISAMEHEWA na KUAHIDIWA MAMBO KADHAA. Lakini pia Ndugu PENA amepewa jukumu zito la kusaka habari nyeti na kumpelekea Mzee Meko.

Hebu jiulize;
Kwa nini wale wengine wote walipomaliza kuomba msamaha hakuna impact iliyotoke.

Ila huyu siku chache tu baada ya kuzungumza na Mzee Meko tumeshuhudia mabadiliko makubwa tena mengine bado yanakuja.

ANGALIZO KWA WANA-SIASA

Ndugu PENA amekuwa MNOKO tena MNOKO kwa MAMBO NYETI.

Ndugu PENA msimuamini tena maana Sasa amekuwa INFORMER wa Mzee Meko.

Ndugu PENA Siri uliyofichua haitakuadhiri leo ila kesho usiyo ijua.

Nawasilisha.

Kwa taarifa yako hii ambayo haina madhara yoyote au ubaya wowote ( nikimaanisha ni Nyepesi mno ) sijaona haja ya Wewe Kufumba Jina la NAPE na kulibadili na Kuliandika PENA sana sana ni kama vile umefanya matumizi mabaya ya Akili zako.
 
HUYU PENA SIKU ZOTE NI MNOKO MKUU HANA UJASIRI WA KUSIMAMA IMARA NA KUTETEA UTU WAKE.
Hakuna mtu mbaya kama anaekutwa na majanga afu anawachoma na wenzie pia.Watu kama hao ni wa kuwa mbali nao
Snitch.
 
kwa wafanya HIP HOP kama mimi hapo ningesema.tu NAPE MOSES NAUYE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom