Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Mkuu Chakaza inaonekana huyo mtu amekuchukulia mpenzi wako, sio kwa namna ulivyomzodoa.Maajabu ni kuwa, huyo mnayesema ni baba yake Col. Moses Nnauye hakuwa mtu legelege bali shujaa wa kisiasa.
Au Nape ni yale mambo ya mwenge ambayo wazee walikuwa wakiambiwa "toka siku ile sioni siku" wakati wamepita wengi?
Kama yale ya Le Mutuz