Ndugu Pena, unoko wako utakuponza

Ndugu Pena, unoko wako utakuponza

Maajabu ni kuwa, huyo mnayesema ni baba yake Col. Moses Nnauye hakuwa mtu legelege bali shujaa wa kisiasa.
Au Nape ni yale mambo ya mwenge ambayo wazee walikuwa wakiambiwa "toka siku ile sioni siku" wakati wamepita wengi?
Kama yale ya Le Mutuz
Ndio maana watoto wa familia ya huyo mzee wote walimkana bwm Pena wakasema huyo sio mtoto wa dingi yao,mzee baba alishkishwa tu.
 
Usizunguke zunguke, mambo hatari kwa jamii yapaswa kuwekwa wazi ili kuiokoa na hatari.
Unataka kusema watu wakae mbali sana na mzee wa goli la mkono bwana Nnauye kwani ni INFORMER aliyetayari hata kuwatungia uongo wenzake ili tumbo lake la kitambi lisikose mlo?
Kwa hiyo hata wabunge wenzie pale bungeni wakiwa kantini wakimuona anakuja mezani wakimbie?
Pole sana mzee Membe kwa vijana wako kutoka kuwa sukari hadi kuwa ammonia sulphate
Chadema sasa hivi mnampenda sana Membe kuliko hata Lisu na Mbowe.
 
Nape kuomba radhi kumewaumiza mafisi mengi mno
mwandishi kasema Pena wa kukaa naye mbali, wewe unasema Nape, mimi ninavyoujua waliomsnitch bwana mkubwa wako wengi ikiwemo na huyu Pena wa kukaa naye mbali, Kama Nape naye mzee wa bunge live gharama kwa srikal na gavu gavu aka a system of the peole on the behalf of the the people, kama naye alikuwepo kwenye kutambaa kama nyoka ikiwezekana ili kulinda tumbo basi walikuwa wengi sana masnitch. yaan kae kajaamaa ka kanakopenda kufa kamsimama kuliko kuishi na kula vizur kamapiga magoti ni katata japo so kasuzuki wala ka isuzu.
 
Habari Ndugu zanga wa JF?

Nadhani wote tunafahamu kuwa Ndugu PENA hivi majuzi tu alikuwa na Mazungumzo na Mzee Meko.

Dhana ya Mazungumzo ni kuomba Msamaha ( Wengi tulijulishwa Hilo).

Lakini kabla ya Ndugu PENA Kuna wengine pia walienda kuomba Msamaha.

Njia ya kuomba msamaha kwa Ndugu PENA ilikuwa ni mgumu mno kuipata mpaka pale alipoahidi kumnyetisha mambo nyeti Mzee Meko.

Alipokutana na Mzee Meko, Ndugu PENA alisema mengi ikiwamo mipango ya Siri iliyoratibiwa na watu wa Kundi Fulani ambalo lilidhamiria kumng'oa Mzee Meko.

Baada ya kuropoka yote kwa Mzee Meko PENA ALISAMEHEWA na KUAHIDIWA MAMBO KADHAA. Lakini pia Ndugu PENA amepewa jukumu zito la kusaka habari nyeti na kumpelekea Mzee Meko.

Hebu jiulize;
Kwa nini wale wengine wote walipomaliza kuomba msamaha hakuna impact iliyotoke.

Ila huyu siku chache tu baada ya kuzungumza na Mzee Meko tumeshuhudia mabadiliko makubwa tena mengine bado yanakuja.

ANGALIZO KWA WANA-SIASA

Ndugu PENA amekuwa MNOKO tena MNOKO kwa MAMBO NYETI.

Ndugu PENA msimuamini tena maana Sasa amekuwa INFORMER wa Mzee Meko.

Ndugu PENA Siri uliyofichua haitakuadhiri leo ila kesho usiyo ijua.

Nawasilisha.
Ulipoandika tu 'Hebu jiulize' nikajua tu unapiga ramri.

Hongera kwa kuwaza lakini.
 
Hakuna mechi ya mpira iliyochezwa kwa mda mrefu kuliko ile ya Marekani na Argentina mwaka wa 1941 na ilikuwa fainali, wanaume walipiga dakika 90 ikawa ni sare 2-2 refa Tom Foll akaongeza zingine 30 bado ikawa vilevile, wakaenda kwenye matuta za kwanza 5 wakatoka 4-4 refa akaongeza zingine hadi 150 bado ikawa sare wachezaji wakawa wamechoka wakaambiwa waende wapumzike, baada ya mda wakarudi na kuendelea na penalti hadi zikafika 800 bado wakawa wako sare kumbuka hii ni fainali mshindi lazima, kuendelea usiku ukaingia ikabidi mashabiki na wachezaji walale uwanjani hadi asubuhi, kesho yake penalti zikaendelea lakini wapi, wakaamua walete shilingi warushe juu iamue mshindi maajabu shilingi kurushwa juu kuanguka chini ikasimama wakafanya hivo mara tano bado ilikuwa inasimama tu hadi wakaamua wakate kombe katikati wagawane nusu nusu.
Sijawahi wadanganya ndo mara yangu ya kwanza kufanya hivo sitarudia.
70967411_2395254527194649_1992105599680118784_n.jpg
70967411_2395254527194649_1992105599680118784_n.jpg
 
Habari Ndugu zanga wa JF?

Nadhani wote tunafahamu kuwa Ndugu PENA hivi majuzi tu alikuwa na Mazungumzo na Mzee Meko.

Dhana ya Mazungumzo ni kuomba Msamaha ( Wengi tulijulishwa Hilo).

Lakini kabla ya Ndugu PENA Kuna wengine pia walienda kuomba Msamaha.

Njia ya kuomba msamaha kwa Ndugu PENA ilikuwa ni mgumu mno kuipata mpaka pale alipoahidi kumnyetisha mambo nyeti Mzee Meko.

Alipokutana na Mzee Meko, Ndugu PENA alisema mengi ikiwamo mipango ya Siri iliyoratibiwa na watu wa Kundi Fulani ambalo lilidhamiria kumng'oa Mzee Meko.

Baada ya kuropoka yote kwa Mzee Meko PENA ALISAMEHEWA na KUAHIDIWA MAMBO KADHAA. Lakini pia Ndugu PENA amepewa jukumu zito la kusaka habari nyeti na kumpelekea Mzee Meko.

Hebu jiulize;
Kwa nini wale wengine wote walipomaliza kuomba msamaha hakuna impact iliyotoke.

Ila huyu siku chache tu baada ya kuzungumza na Mzee Meko tumeshuhudia mabadiliko makubwa tena mengine bado yanakuja.

ANGALIZO KWA WANA-SIASA

Ndugu PENA amekuwa MNOKO tena MNOKO kwa MAMBO NYETI.

Ndugu PENA msimuamini tena maana Sasa amekuwa INFORMER wa Mzee Meko.

Ndugu PENA Siri uliyofichua haitakuadhiri leo ila kesho usiyo ijua.

Nawasilisha.
Huyo laana ya bao la mkono alilowafunga watanzania linamtesa sana na itamuandama mpaka kabulini.
 
Meko nae ni zoba. adui anawasaliti wenzake sio mtu iko siku na wewe atakusaliti.

ingekuwa mkwere wala ata asinge hangaika ungekuta anacheka tuu. ila huyuu anae penda kuabudiwa imekuwa jambo la kitaifa.

kuna haja ya maraisi kusomea course fupi ya uongozi.

Angalia sana hayo maoni yako-------

Una maana rais hajui uongozi anajuwa kutawala tu.
 
Hakuna mechi ya mpira iliyochezwa kwa mda mrefu kuliko ile ya Marekani na Argentina mwaka wa 1941 na ilikuwa fainali, wanaume walipiga dakika 90 ikawa ni sare 2-2 refa Tom Foll akaongeza zingine 30 bado ikawa vilevile, wakaenda kwenye matuta za kwanza 5 wakatoka 4-4 refa akaongeza zingine hadi 150 bado ikawa sare wachezaji wakawa wamechoka wakaambiwa waende wapumzike, baada ya mda wakarudi na kuendelea na penalti hadi zikafika 800 bado wakawa wako sare kumbuka hii ni fainali mshindi lazima, kuendelea usiku ukaingia ikabidi mashabiki na wachezaji walale uwanjani hadi asubuhi, kesho yake penalti zikaendelea lakini wapi, wakaamua walete shilingi warushe juu iamue mshindi maajabu shilingi kurushwa juu kuanguka chini ikasimama wakafanya hivo mara tano bado ilikuwa inasimama tu hadi wakaamua wakate kombe katikati wagawane nusu nusu.
Sijawahi wadanganya ndo mara yangu ya kwanza kufanya hivo sitarudia. View attachment 1209111View attachment 1209111
 
We punguani Africa haitakuja kupata rais kama Magu katika miaka 50 ijayo
Meko nae ni zoba. adui anawasaliti wenzake sio mtu iko siku na wewe atakusaliti.

ingekuwa mkwere wala ata asinge hangaika ungekuta anacheka tuu. ila huyuu anae penda kuabudiwa imekuwa jambo la kitaifa.

kuna haja ya maraisi kusomea course fupi ya uongozi.
 
Ndugu PENA kwa sasa ni wa kukwepa..akifika kijiweni samabeni fasta !abakie yeye.

Alichokifanya si cha kiubinadamu kabisa...kama umeamua kunyoosha mikono juu basi nyoosha wewe ndugu PENA.
 
Bavicha kwa stori za vijiweni hamjambo!
 
We punguani Africa haitakuja kupata rais kama Magu katika miaka 50 ijayo
Raisi Magufuli anaonekana ni mzuri kwa sababu anazuia watu kusema mabaya yake.

Kwahiyo Wengi tunaona upande mmoja wa Shilingi.

Naamini siku ukija kusikia madudu yake utaacha kumpigia magoti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom