Ndugu Karugutu (Afisa Elimu msingi Wilaya ya Uyui) jirekebishe, acha kuwatesa walimu kwa kuwafokea badala ya kuwaeleza kwa adabu na utu!

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
8,610
17,657
Wanabodi za asubuhi! Leo nakuja na malalamiko ya walimu wa shule za msingi katika Wilaya ya Uyui kumhusu huyu Karugutu.

Wanaanza kwa kueleza kuwa kwenye zoezi la kuboresha daftari la wapiga kura mwaka jana Karugutu aliwalazimisha walimu wa saini hela ya chakula 15,000/= kwa maana ya kifungua kinywa na chakula cha mchana. Walimu hao waliumizwa na kitendo hicho cha kuwapiga hela ya chakula kwenye semina.

Fedha ambayo wangelipwa kwenye semina ilikatwa kwa huduma mbovu ya chakula chenye thamani ya Sh. 4000/= ikafanywa 15000/=. Walimu walilia na kulalamika lakini Karugutu hukusikia.

Tena uliwatisha kuwa watachukuliwa hatua ya kinidhamu wasiposaini. Walimu wamekuwa wakilalamika kwa tabia yako ya kuwakejeli na kuwakemea wakija halmashauri kwa matatizo mbalimbali, umekuwa ukiwatisha na kuwakemea kwa kutaka kuwaandikia barua za kinidhamu wakidai haki zao.

Tatizo kubwa la halmashauri ya Uyui ni rushwa na kubebana hata kutoa vyeo kwa rushwa mbalimbali za fedha na ngono. Ubadhirifu ni mwingi sana hapo wilayani.

Hadi sasa kuna wakuu wa shule wa sekondari wenye elimu ndogo wametoa rushwa ili kuendelea na ukuu huo wakati wengine wakiondolewa kwa ukuu ule ule.

Masijala ya mkurugenzi na elimu za Uyui!, watumishi wake wanaomba rushwa kwa watumishi hasa walimu wanapokuwa na shida mbalimbali hasa kutafutiwa faili zao na kupokea barua za likizo.

Namuomba Seleman Jafo aitazame Uyui (Isikizya hapo ofisini Wilaya ilipo) Aondoe uozo uliopo!!

Watumishi wa umma tena walimu wananyanyaswa sana na watumishi wa Halmashauri hiyo.

Wenye dhamana Chukueni hatua!
 
Lete CV yake
Unajua wakuu wengi unakuta ni infiriority complex
Hivi mkiwa na DEO mwenye PhD msingehangaika
Tatizo unawezakuta ni undergraduate hao ni wasumbufu balaa
 
Yaani- watumishi wote mmekosa mmoja WA kumrekebisha Kwa njia yoyote?- kumweleza, kumshtaki panapohusika, au hata kumroga?.
Hiyo Ziada ya Posho alipeleka wapi?- nendeni takukuru, vinginevyo ni majungu.
 
Mkuu !Tata majuva unafikiri alipokuwa anawasainisha hizo hela alifata taratibu za kazi????Au na wewe alikugawia huo mgao wa hela?Ficha ujinga wako mkuu!Tabora mnapenda kulindana kwenye ujinga!!!!!UYUI IMEOZA JAFO FAGIA UCHAFU HUO!!!
 
uo uozo nmeusikia sn nilishangaa walimu wanakatwa ela yao kwa kuwadanganyishia kula chakula siku iyo,anabahati nilizuiwa na watu nlikuwa namchana kwa mkuu wa mkoa wao sijui tatizo ni nini,mkurugenzi alieondoka yule mama nligusia tatizo la iyo ofisi lkn waliteteana shida ni uyo bwana karugutu hana ethics za kazi kwa anaowasimamia kazi rushwa na akibisha naweza leta ushahidi km anapenda kufanya kazi alipe watu pesa zao. pia ofisi ya utumishi ina shida sijui watu walishaona wamemaliza kila kitu,ofisi zao zipo mbali unamsumbua mtu aje humsikilizi aondoke ashindwe kurudi kituoni kwake kwa wakati alale then tena kesho arudi wakati uzembe ni wa ofisi na sio mwalimu ukiwaeleza inaonekana unawapangia kazi wakati huo mwalimu ametumia gharama zinaenda bule nenda rudi......uyui hapafai...

ninahasira nae kwa sababu uzembe wake umeniathiri moja kwa moja achilia mbali la kuwapunja walimu pesa zao... za usimamizi wa daftari la uhakiki...
HOT
 
Ile mahakama ya kazi karibu na Las vegas sijui inafanya kazi ile!!!Maana niliwahi kufika kumshtaki Mengo yule jamaa wa Tsd mzee wa totoz eti wakanambia niende CWT!Niliwadharau sana na kama hakama kao!!nikawaona washenzi nikasepa!!!!Nikatumia mlango mwingine!!!!Tabora pa kifala sana mazee!!!
 
Nzi akiacha kuchezea mavi anaeza tengeneza asali!!! Walimu achana na CCM mpunguze ufala mmezidi dadeki zenu!!! Yaani mtu mmoja anawazingua maelfu ya watu?!?

Mpigeni hata yai viza
 
Back
Top Bottom