- Thread starter
- #21
Ulimwengu amuongeze nyundo nyingine huyo mbilikimo!!
Dawa ya moto ni moto
Ulimwengu amuongeze nyundo nyingine huyo mbilikimo!!
Kwenye hiyo picha Kuna supika hapo?
Unabii wa Lemma unachelewa sana kutimia. Tunataka hadi 2025 virusi vyote vya yule dhalim aliyeko motoni viwe vimetoweshwa kwenye uso wa duniaYUKO MBIONI KUACHANA DUNIA HUYO
Unabii wa Lemma unachelewa sana kutimia. Tunataka hadi 2025 virusi vyote vya yule dhalim aliyeko motoni viwe vimetoweshwa kwenye uso wa dunia