Ndugai: Watu wanamnunia Shonza

Bahati nzuri Sskofu kule Zanzibar kesha sema kuwa jamaa ni kama Mugabe alirushiwa kijembe jamaa akadhani ni kiki
 
kuna mahakama ya mafisadi kwa nini rais wako hawafikishi kule hasa hao wa cdm unaowasema sababu sio wa chama chake!!! huna jibu la hili swali,kwa hiyo acha kuropoka
 
Walishindwa?? Ssa mtu Kma shonza ni kiongozi BAVICHA Ila anakosoa chama kwenye media badala ya kupeleka kwenye uongozi wa chama ulitaka chadema wafanyeje??

Nlimdharau Cku ile anaita waandishi wa habari kuhoji Kwanni Dr slaa ana kadi ya ccm mpka Leo??
 
Hilo neno la spika linasadifu uwezo na mtazamo unawaowakilisha kundi linalomuunga mkono.
 
Kama huyu ndiye jembe, basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…