Kasinja jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,057
- 1,932
Kama ni majembe yatakua ya kuchimbia kaburiShonja na mwenzie Mwampamba, majembe bora kabisa yaliyozaliwa Chadema......ila Chadema wakashindwa kuwakuza na kuwalea sababu ya kumlinda Mbowe.
Hongera Shonza ila jitahidi kujirekebisha kwenye lugha mama....
inakuathiri sana kwenye baadhi ya matamshi ya kiswahili fasaha.
Chadema inapenda ikikukuza ulipe garama zao unachopata uwapeShonja na mwenzie Mwampamba, majembe bora kabisa yaliyozaliwa Chadema......ila Chadema wakashindwa kuwakuza na kuwalea sababu ya kumlinda Mbowe.
Hongera Shonza ila jitahidi kujirekebisha kwenye lugha mama....
inakuathiri sana kwenye baadhi ya matamshi ya kiswahili fasaha.
masalia ya slaa mna shida sana,eti shonza ni jembeShonja na mwenzie Mwampamba, majembe bora kabisa yaliyozaliwa Chadema......ila Chadema wakashindwa kuwakuza na kuwalea sababu ya kumlinda Mbowe.
Hongera Shonza ila jitahidi kujirekebisha kwenye lugha mama....
inakuathiri sana kwenye baadhi ya matamshi ya kiswahili fasaha.
Kwa hiyo kwa upuuzi wako unaamini Chadema ndio kwenye majembe yenye nia nzuri na watanzania...masalia ya slaa mna shida sana,eti shonza ni jembe
yani mtu awe ccm halafu ufikirie ana nia njema na watanzania!!!!!
Wamepoteza misingi yao ya awali.!Chadema inapenda ikikukuza ulipe garama zao unachopata uwape
Wanapenda matajiritajiri hivi sasa
......la Chadema.!Kama ni majembe yatakua ya kuchimbia kaburi