Ndugai: Mzee Malecela alinitaka nijiuzulu u-Spika haraka; nikajiuzulu

Ukikonnect dots utagundua kuwa hata kile kitendo cha Kadinali Jento wa FM Academia 'Wajela hela' na yule Askofu kumfuata Membe wakimwombea msamaha Musiba kulikuwa siyo kwa kawaida.

Le Cardinal na Bishops kwanini hamkumwambia Membe yaliyokuwa yanamjia huku mkijua? Kwanini hamkumwambia 'Kuna genge limejipanga kukumaliza usipomsamehe Musiba. Msemehe tu na upotezee'. Viongozi wa dini wanafiki nyie.
Ninamashaka hata na hizo barua walizokua wanamtumia,
 
Hiki kilio ni wazi ww ama nyinyi ndio mna matatizo, kwanini usipuuze uendelee na mijadala mingine maana ipo mingi?! Nyie mliofaidika na ulevi wake wa madaraka ndio mnatushangaa baadhi yetu tuliona hayuko sahihi na hakustahili kuwa rais, haswa kwa katiba inayomfanya rais kuwa Mungu mtu kama yetu.

Nitafute attention kupitia Magu kwani alikuwa rais wa Marekani? Au kwakuwa nyie mlikuwa mnamuona Mungu basi kila mtu anamsujudia? Hili suala la vyeti ni bora hata mkae kimya, maana yeye alikuwa na PhD yenye utata mtupu, na hili liko wazi. Isitoshe kama ni vyeti fake bado hakuliendesha kwa haki kwani lilijaa double standard ya ajabu, maana aliiacha taasisi nyingi hasa za ulinzi na usalama bila kuwapigia, na huko vyeti fake viko kibao. Ifahamike haya kuhusu aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar alikuwa na tuhuma ya vyeti fake, na alikuwa anajibu kwa kejeli kuhusu suala hilo. Kwahiyo hakukuwa na suala la vyeti fake bali uonevu. Isitoshe mimi hata ningekuwa na cheti fake isingekuwa tatizo maana sio mtumwa wa ajira za serikali kama ww. Sauti inatosha au niongeze?
muongezee sauti mmeo
 
Mna uhakika Ndugai anajua aliyefariki si Mzee Malecela bali mwanaye? Maana maelezo yake ni kama vile anamuomboleza Mzee Malecela.
 
Nyie ndio mnaojiliza, na inaonekana we ni bendera fuata upepo maana kila mtu anayemtaja dhalimu in a negative way wote husema ni cheti fake, na nyie mnaomsifia wote mna vyeti halali vya Havard University ,😂😂. Nikupe ushauri wa bure, we kaa kwa kutulia maana ukifuatilia ninachopost utakwazika bure, maana wewe ni mtumwa wa ajira.
Nilidhani unachukizwa na uwepo wa Magufuli kuendelea na urais wakati ule na nikadhani kufa kwa Magufuli na kutokuwepo tena katika nafasi ya urais basi huko kuchukizwa kutaisha. Lakini moto bado ni uleule mkuu kana kwamba hakuna kilichobadilika kama vile Magufuli bado yupo Ikulu.
 
Kwa mujibu wa Bible shetani ameshafurushwa mbinguni, lakini hadi leo bado anasagiwa kunguni tu. Itakuwa dhalimu?
 
Ana chuki za kipumbavu sana.Ni mpumbavu tu anaweza kupambana na marehemu masaa 24 jamii forum.
 
Kuna mawili-matatu kupitia comments zako:
1. Unatafuta attention kupitia JPM, usikike, watu wakusome wajue una chuki binafsi na marehemu.
2.. Umepatwa na shida ya akili, umekuwa too obsessed na marehemu yaani huwezi kuandika kitu usiuseme ubaya wake, obsession ya kijinga sana.
3. Alikutumbua, alitumbua watu wa karibu yako, alizima ndoto zako kupitia illegal business ulizokuwa unafanya, haupo sawa kisaikolojia hata kama ni attention unatafuta.
Huyu jamaa huwezi mkuta anaongelea miili iliyookotwa Tanga au Mbeya.Ye kichwa chake kimejaa Magufuli alikua dhalimu. Ukifuatilia kwa akili huyu ni muhanga mkubwa sana wa Magufuli direct or indirect. Mpumbavu ni yule personal issue zake anapenda kuzipeleka public. Ingekua tu ni kwa maslai ya Taifa asingekua anabehave hivi,angejua kuna kundi pia lina mtazamo tofauti.Sasa yeye kazi yake ni kuvamia kila post na kucomment Magufuli alikua dhalimu, thread imuhusu au usimuhusu Magufuli ye lazima acomment Magufuli alikua dhalimu.
 
Mimi nilimuuliza swali rahisi tu: kukaza shingo mitandaoni 24/7 kupambana na udhalimu wa awamu ya tano ya marehemu, kunamsaidia nini kimaisha? Amekosa jibu.

Amekomaa haswa na awamu ya tano tu ya marehemu, kana kwamba awamu zingine za utawala marais walikuwa 'watakatifu' na raia walikuwa hawauawi wala kutekwa.

Mwaka wa pili huu amekaza fuvu kupambana na marehemu. Obsession ya kijinga sana!

-Kaveli-
 
NI kweli ndugai alikuwa hajui Tundu lisu alipo hadi kunvua ubunge ? Jesiyo kweli kwamba ndugai alikuwa anatimiza ile kauli ya Magufuli kwamba malizaneni nao bungeni yeye angemalizana nao huku nje?
Ni kweli pesa za bajeti ya bunge huwa zinabaki hadi zirudishwe serikalini? Bajeti manake nni? Je kubakisha pesa ni matumizi sahihi ya kibajeti? Ndugai mnafiki sana
".... Mzee Malecela January mwaka jana alifika nyumbani usiku nisivyotarajia na isivyo kawaida. Akataka chai ya rangi huku akinieleza ALIKUJA KAMA KAKA ANADHANI KESHO NIJIUZULU USPIKA na mimi nilikubali na AKANITAKA NISIKOSE KUJIUZULU HIYO KESHO ASUBUHI na mimi nilikubali sawa na kesho asubuhi nilijiuzulu."

Ndugai akiwa kwenye mazishi ya Lemutuz.
 
Yaani we jamaa una shida sana,unaweza sema Uongozi mbovu umeanza na Magufuli. Hivi udhalimu wa JK huuoni?Nachoamini Magufuli alikufanya kitu kibaya sana maana sio kwa chuki hii.We inaonesha ulikua Vyeti fake au ulitumbuliwa au ndugu yako uliyemtegemea alifanyiwa hayo mawili. Ungekua mfanyabiashara, risk ni kitu cha kawaida so hizo chuki zako dhidi ya Magufuli zisingekuwepo.Jitaidi kuficha chuki zako za kipumbavu, sio kila sehemu we ni chuki na Magufuli. Yaani kila mada utajitahidi Magufuli aingie na umtukane. Kuna Siasa na chuki za kipumbavu, we una chuki za kipumbavu coz umevuka SIASA. Ngekua na uwezo ngekupeleka chato ukaongee na maiti yake huenda inaweza omba Msamaha kwako.
Ulishawahi kusoma mada za mtu anayejitambulisha humu kama kulwa jilala au eltwege?
 
Kwa mujibu wa Bible shetani ameshafurushwa mbinguni, lakini hadi leo bado anasagiwa kunguni tu. Itakuwa dhalimu?
Shetani bado yupo hai hadi sasa na anaendelea kufanya kazi ya kupoteza watu na ndio kazi yake hadi sasa.
 
Kwa mujibu wa Bible shetani ameshafurushwa mbinguni, lakini hadi leo bado anasagiwa kunguni tu. Itakuwa dhalimu?
Comments zako zinadhihirisha kwamba unamchukia JPM kwa sababu alipinga Ushoga waziwazi. Wewe ni shoga
 
Back
Top Bottom