Ndugai: Mnyika alikataa kukaa chini nikamtoa nje, Salehe asema niliwaambia Upinzani tutoke nje

Mbunge Ali Salehe pia ameuliza uhalali wa Mbunge wa Ubungo John Mnyika kutolewa bungeni wakati aliitwa "Mwizi" na mbunge wa CCM
Yeye mnyika aliita wezake wezi,legelege,dhaifu mbona hakuna alietaka bunge lichukue hatua?Mnyika mwepesi sana kusahau
 
Fukuza watetea mafisadi chadema bungeni
Hivi Mahakama ya Mafisadi inaendeleaje?
Hao mafisadi wa CHADEMA hii mahaka haiwahusu?
Wakamatwe na wafungwe, serikali imetumia pesa zetu kuianzisha mahakama hiyo,
sasa kwa nini isihusishe mafisadi wa aina zote waliokwiba pesa zetu?
 
Mnyika alitakiwa awe mpole luside amalize kisha aombe muongozo mwingine kuhusu kuitwa mwizi. Lakini yeye akataka kuleta ubabe, wakati anajua mbabe zaidi yake amekalia kiti
Who is this Ally Saleh? Yeye hakususia Jecha ndiyo kabaki kupeperusha bendera ya wapinga mapibduzi? Msalim Seif kasema anataka serkali ya mkataba, unafanya nini unamwakilisha nani? Ebu kakae Arabuni subiri mkataba tutakuita.
 
Mnyika alitakiwa awe mpole luside amalize kisha aombe muongozo mwingine kuhusu kuitwa mwizi. Lakini yeye akataka kuleta ubabe, wakati anajua mbabe zaidi yake amekalia kiti
Mie ndio hapa wawakilishi wetu hawatutendei haki.Anashindwa kufanya timing
 
Kwani si kuna kipengere cha kusema ni wakati gani Spika anaweza kuachia kiti?
1)Akipigiwa kura na wabunge za kumkataa
2)Akifariki
3) AKIUGUA KIASI CHA KUPOTEZA UWEZO WA KUFIKIRI SAWASAWA
nafikiri moja hapo juu ndio sababu!!Hasa yenye "msisitizo" wa "Upper Course"
 
Akiuliza swali leo mbunge Alli Salehe kwa spika wa bunge amemuuliza ni kwanini Ester Bulaya na Halima Mdee hawajahojiwa na kamati ya maadili na haki na hukumu yao imetolewa tayari.

Amesema pia kwamba Halima Mdee na Bulaya walipewa barua ya kuitwa lakini hawakufanya hivyo wala kutoa taarifa yoyote.

Mbunge Ali Salehe pia ameuliza uhalali wa Mbunge wa Ubungo John Mnyika kutolewa bungeni wakati aliitwa "Mwizi" na mbunge wa CCM

Spika amesema kwamba Mnyika ni mbunge mzoefu na anajua vizuri kanuni na hakutakiwa kufanya hivyo kwa kuvunja sheria zilizowekwa na bunge.

Hapa bhana watu wanaendesha mambo kwa interest zao binafsi jakuna lolote, Hivi mtu unayukanwa then unatolewa nje kisa umesema alietukana aulizwe, shame kwa spika tena sana tu.
 
Huyo aliemkosea Mnyika amechukuliwa hatua zipi?

Mwanzo wa adhabu ni kumtambua aliekosea, Mnyika mwenyewe mpaka Leo hajamtambua aliekosea au Wewe unamjua au ulitaka Bunge lisimamishe Shughuli zake kuanza kumtafuta Mtukanaji?
 
Back
Top Bottom