Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Akiuliza swali leo mbunge Alli Salehe kwa spika wa bunge amemuuliza ni kwanini Ester Bulaya na Halima Mdee hawajahojiwa na kamati ya maadili na haki na hukumu yao imetolewa tayari.
Amesema pia kwamba Halima Mdee na Bulaya walipewa barua ya kuitwa lakini hawakufanya hivyo wala kutoa taarifa yoyote.
Mbunge Ali Salehe pia ameuliza uhalali wa Mbunge wa Ubungo John Mnyika kutolewa bungeni wakati aliitwa "Mwizi" na mbunge wa CCM
Spika amesema kwamba Mnyika ni mbunge mzoefu na anajua vizuri kanuni na hakutakiwa kufanya hivyo kwa kuvunja sheria zilizowekwa na bunge.