Ndugai: Mnyika alikataa kukaa chini nikamtoa nje, Salehe asema niliwaambia Upinzani tutoke nje

kumbe waliitwa hawa wamama wawili na hawakutokea, hukumu ikitolewa wanasema ni porojo, next day wanataka wafike mahakamani....
ila upinzani kwa drama hamjambo
Kuna haraka gani kutoa hukumu watu wapo msibani? Why wasiskizwe unajua tanzania ya sasa inaongozwa na bwana mmoja asie jaribiwa polisi plus bunge plus mahakama zote zinapokea maagizo either yanayo faa au yasio faa and they have to obey ......b honest to ur self is this a better tanzania or a bullshit tanzania take ur time think hard do reserch and answer ur self ....
 
serious? unauliza kuna haraka gani watu wapo msibani hebu jamani tupunguze kutetea vitu vingine havina hata cha kutetea
wanaitwa ili kamati isikie upande wao wewe ulitaka tuwasubiri watupe tarehe wanayotaka wao wasikilizwe is that what you mean?
kitendo cha wao kutokutokea then hawahitaji kulalamika
 
Yap walkuwa msibani na barua zlienda nyumban
 
Back
Top Bottom