Ndugai: Mnyika alikataa kukaa chini nikamtoa nje, Salehe asema niliwaambia Upinzani tutoke nje

kumbe waliitwa hawa wamama wawili na hawakutokea, hukumu ikitolewa wanasema ni porojo, next day wanataka wafike mahakamani....
ila upinzani kwa drama hamjambo
 
Kosa la Mnyika halihalalishi kosa la mwingine. Kuweka mambo sawa, wakosaji wote wangeshughulikiwa.
Kwa nini viongozi wa bunge hujidhalilisha kwa kufanya upendeleo wa wazi? Inawezekana kuna tatizo linaloanzia jinsi wanavyopatikana na uwezo wa wao wa kufikiri.
 
Yap alisema walipewa barua mpaka nyumbani kwao zilifika na sio kwa wapangaji
 
Kosa la Mnyika halihalalishi kosa la mwingine. Kuweka mambo sawa, wakosaji wote wangeshughulikiwa.
Kwa nini viongozi wa bunge hujidhalilisha kwa kufanya upendeleo wa wazi? Inawezekana kuna tatizo linaloanzia jinsi wanavyopatikana na uwezo wa wao wa kufikiri.
Yap nakubali waltakiwa wote kutolewa nje sema ndo vle ....bongo bahati mbaya...
 
Back
Top Bottom