Ndugai asisahau, kadi yake ya CCM ndio inampa uspika, CCM wanaweza kuiondoa muda wowote na akawa raia wa kawaida tu

Huyu kwenye line ya moto anafuata

Haipo amani bali kwa ncha ya upanga. Mama alidai eti ncha ya ulimi 😁😁.

Hii bagosha!

Makombora ya Mama yamesikika. Kwa mustakabala wa amani ya kudumu, ni muda sasa kambi hii pendwa ikafanya onyesho lao la biashara.

Kwa ujumla panapo nia kambi ya Mama haitoboi.
 
Haipo amani bali kwa nchi ya upande. Mama alidai eti nchi ya ulimi 😁😁.

Hii bagosha!

Makombora ya Mama yamesikika. Kwa mustakabala wa amani ya kudumu, ni muda sasa kambi hii pendwa ikafanya onyesho lao la biashara.

Kwa ujumla panapo nia kambi ya Mama haitoboi.
Mama ni system, unapigana na mama, unapigana na dola yenye maelfu ya watu wanaopeana shifti ya kuingia kazini mchana na usiku, wewe usiku unalala, wao wanabadilishana vijiti
 
Nchi ni watu. Utawala ni kwa ridhaa na matakwa ya watu.

Huu ndiyo ulio ukweli mchungu:

Sakata la Ndugai likifika mwisho fairly tutegemee:

1. Utawala na mihimili yenye uhuru kamili
2. Watawala kuwapo madarakani kwa ridhaa ya wananchi
3. Watawala kuwajibika kwa wananchi
4. Kuzaliwa kwa katiba mpya ya wananchi.
5. Kuzaliwa kwa Tanzania mpya.

Vita vitakwisha fairly si kwa hisani bali kwa kupiganwa haswa. Vita hivi anapigana Ndugai peke yake?

Wako wapi washirika?

Sakata la Ndugai: Mashabiki wako mkao wa Kula

Au tumechagua kuwa mashabiki (wapenzi watazamaji) tukiwa mkao wa kula?
 
Ndungai ndio mzizi wa mwisho wa awamu ya 5, lazima ubomolewe ili awamu ya sita iendelee, yale masheria ya hovyo hovyo yatabadilikaje Ndungai akiwa hapo?
 
Ndugai hatoki. Kama vipi Mama si alivunje bunge?
 
Kuna watu wanamdanganya eti anaweza kutikisa Urais wa Samia. Wasidanganye, siku anaanza ndio siku anafutiwa uanachama, ubunge wake unakoma, na uspika unakoma
Kwa mujibu wa Katiba, Spika ni Mtanzania yeyote anayeomba na kuchaguliwa hivyo suala la kadi linamhusu Rais
 
Huwezi kuvunja mtungi ili panya atoke, unaulaza tu,anatoka mwenyewe

Mtungi na utawala ni vitu viwili tofauti.

Kumbuka wananchi wanahitaji serikali ya ridhaa yao yenye kuwajibika kwao.

Iliyopo kasema mwenyewe ina majumba mabovu ya kumwaga ya kumwangukia mtu.

Ninakazia:

Sakata la Ndugai likifika mwisho kwa haki tutegemee:

1. Utawala na mihimili yenye uhuru kamili
2. Watawala kuwapo madarakani kwa ridhaa ya wananchi
3. Watawala kuwajibika kwa wananchi
4. Kuzaliwa kwa katiba mpya ya wananchi.
5. Kuzaliwa kwa Tanzania mpya.

Vita kwisha kwa haki haiwezi kuwa hisani bali kwa kupiganwa haswa!

Hii mbombo anapambana nayo Ndugai peke yake?

Wako wapi washirika?

Sakata la Ndugai: Mashabiki wako mkao wa Kula

Wewe uko upande gani mjomba?

Au umechagua kuwa shabiki (mpenzi mtazamaji) ukiwa mkao wa kula?
 
Kwa mujibu wa Katiba, Spika ni Mtanzania yeyote anayeomba na kuchaguliwa hivyo suala la kadi linamhusu Rais

Kwa Ndugai:

Kwa Sakata la Ndugai haya yanawezekana:

1. Utawala na mihimili yenye uhuru kamili
2. Watawala kuwapo madarakani kwa ridhaa ya wananchi
3. Watawala kuwajibika kwa wananchi
4. Kuzaliwa kwa katiba mpya ya wananchi.
5. Kuzaliwa kwa Tanzania mpya.

Hii ni ngoma ya washirika dhidi ya maadui.

Sakata la Ndugai: Mashabiki wako mkao wa Kula

Wacha mashabiki na wapenzi watazamaji wakae mkao wa kula na burudani zaidi.
 
Mtungi na utawala ni vitu viwili tofauti.

Kumbuka wananchi wanahitaji serikali ya ridhaa yao yenye kuwajibika kwao.

Iliyopo kasema mwenyewe ina majumba mabovu ya kumwaga ya kumwangukia mtu.

Ninakazia:

Sakata la Ndugai likifika mwisho kwa haki tutegemee:

1. Utawala na mihimili yenye uhuru kamili
2. Watawala kuwapo madarakani kwa ridhaa ya wananchi
3. Watawala kuwajibika kwa wananchi
4. Kuzaliwa kwa katiba mpya ya wananchi.
5. Kuzaliwa kwa Tanzania mpya.

Vita kwisha kwa haki haiwezi kuwa hisani bali kwa kupiganwa haswa!

Hii mbombo anapambana nayo Ndugai peke yake?

Wako wapi washirika?

Sakata la Ndugai: Mashabiki wako mkao wa Kula

Wewe uko upande gani mjomba?

Au umechagua kuwa shabiki (mpenzi mtazamaji) ukiwa mkao wa kula?
Mtungi umeshalazwa, Sasa hivi tunajadili atoke vipi, na Yuko sehemu ya kutokea tayari
 
Hii iko very clear, sema umekuwa na kichwa kigumu kama Ndugai. Ni lazima atokane miongoni mwa wabunge au mtu mwenye sifa ya kuwa mbunge. Sasa ukiwa huna chama cha siasa utakuwa mbuge kwa mjibu kwa katiba ya nchi? Hapa Job hana namna, wakichukua kadi yao ni lazima aachie uspika kwa sababu atakuwa ameshakosa vyote, ubunge na sifa ya kuwa mbunge ambalo ni takwa la kisheria la kuwa spika.
Ibara ya 84(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema:

Kutakuwa na Spika wa Bunge ambaye atachaguliwa na Wabunge kutoka miongoni mwa watu ambao ni Wabunge au wenye sifa za kuwa Wabunge; atakuwa ndiye kiongozi wa Bunge na atawakilisha Bunge katika vyombo na vikao vingine vyote nje ya Bunge.

Je, mna maswali zaidi?! Naweka mkazo: mtu halazimiki kuwa mbunge ili kuwa spika wa bunge! Anayelazimika kuwa mbunge ni Naibu Spika!
 
Hivi vyako ni vitisho tu. Ccm ni chama dola, hakuna linaloshindiaka kwao. Ila hofu yangu ni hii, tunakoelekea kuna siku kitakuwa sio chama cha siasa tena bali chombo cha dola. Kwa sasa hawafanyi tena kazi za siasa. Kila kitu kinafanywa kwa nguvu ya dola, iwe uchaguzi ama kuwashughulikia makada wenzao. Hii sio afya nzuri kwa chama cha siasa. Siasa hujibiwa kwa siasa.
Soma kwanza katiba. Sharti la kuwa spika sio lazima awe mbunge; ila naibu spika ni lazima awe mbunge.

Hivyo kumfukuza uanachama kutamvua ubunge tu sio uspika. Pili nafasi ya uspika ni kubwa sana kumpoka inahitaji timing sana la sivyo nakuambia nchi itatikisika hata kana hatimaye mwishoni itafanikiwa lakini tayari madhara makubwa yatakuwa yametokea. Kumbuka kura zinapigwa kwa siri na wale wabunge kwa uchache wao wanaweza kabisa kumsapoti wakati wa kura. Narudia tena suo rahisi kumg'oa bila nchi kutikisika.

Kinachowezekana na kumvizia mwaja 2025 wakati kiti kikiwa wazi kama ilivyokuwa wakati ule wa Sitta.
 
Hii iko very clear, sema umekuwa na kichwa kigumu kama Ndugai. Ni lazima atokane miongoni mwa wabunge au mtu mwenye sifa ya kuwa mbunge. Sasa ukiwa huna chama cha siasa utakuwa mbuge kwa mjibu kwa katiba ya nchi? Hapa Job hana namna, wakichukua kadi yao ni lazima aachie uspika kwa sababu atakuwa ameshakosa vyote, ubunge na sifa ya kuwa mbunge ambalo ni takwa la kisheria la kuwa spika.
Mwenye kichwa kigumu kama Ndugai ni basha wako, kenge wewe!
 
Back
Top Bottom