kama ningekuwa na ndugu kama ZeMarcopolo ningempeleka kwenye mbuga ya wanyama yenye simba na chui halafu namuacha simba wapate kula na kuishi angalau watalii waje tupate mapato ya kujenga shule za nchi hii.
Ni kweli kuwa kitendo cha Chadema kutaka kumonopolise huu mchakato hakipaswi kuvumiliwa. Katiba ni ya watanzania wote, sio ya vyama vya siasa...
Anasema janja yao ni hofu kuwa bunge la katiba wabunge CUF wakiungana na wawakilishi wa znz ambao nao watakuja bunge la ktiba watakuwa wengi na hivo kuchukua nafasi ya kambi rasmi ya upinzani wakati wa hilo bunge la katiba. CDM wanalijua hilo ndo maana wanajaribu kucheza mchezo ili isiwe hivo waendelee kuwa kambi rasmi. Lissu povu linamtoka kumbe sababu hatakuwa na nafasi ya kusikika! chezea siasa!
Usiwalaumu tu CDM... bila shaka unawasikia kina Bulembo na Le Mutuz wakijivunia wabunge 280 dhidi ya 46... ZeMarcopolo, hivi vyama visituduwaze... inawezekana miaka 20 kutoka sasa vikawa havipo but mimi, wewe, watoto wetu na tanzania ikawepo...
Kesho asubuhi nitakuwa kanisani misa ya kwanza.Unaongea kama Al Shabaab. Mna uhusiano?
...ukiona mtu mzima anaropoka kama chizi,inawezekana akawa na mtindio wa ubongo au katupia viroba bila idadi...
Anasema janja yao ni hofu kuwa bunge la katiba wabunge CUF wakiungana na wawakilishi wa znz ambao nao watakuja bunge la ktiba watakuwa wengi na hivo kuchukua nafasi ya kambi rasmi ya upinzani wakati wa hilo bunge la katiba. CDM wanalijua hilo ndo maana wanajaribu kucheza mchezo ili isiwe hivo waendelee kuwa kambi rasmi. Lissu povu linamtoka kumbe sababu hatakuwa na nafasi ya kusikika! chezea siasa!
chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...
Ndugai is a playboy, don't ever take him seriouslyHizo ni hisia za Ndugai lkn hana fact.
We kibaka
Kwenye bunge la katiba hamna kambi ya upinzani umesoma shule gani wewe? Unakurupuka hujui moja wala mbili kapuku we
Kwa hiyo ndugu gei ndio kipimo cha akili yako kwani hata wakiwa kambi rasmi anazuiwa kuwatoa nje?Anasema janja yao ni hofu kuwa bunge la katiba wabunge CUF wakiungana na wawakilishi wa znz ambao nao watakuja bunge la ktiba watakuwa wengi na hivo kuchukua nafasi ya kambi rasmi ya upinzani wakati wa hilo bunge la katiba. CDM wanalijua hilo ndo maana wanajaribu kucheza mchezo ili isiwe hivo waendelee kuwa kambi rasmi. Lissu povu linamtoka kumbe sababu hatakuwa na nafasi ya kusikika! chezea siasa!
Teh teh teh kweli ukiwa mwana CCM lazima ujitoe muhanga hata Kwa mambo ambayo yako wazi na ya kueleweka uyakatae na kuyapinga bila kujali kwamba yana ukweli Ma CCM yanafahamu kuwa yanakokwenda siko lakini Kwa kuwa njaa basi ndio inakuwa kama alivyosema Mizengo Pinda kuwa liwalo na liwe bora waendelee kuiba na kujaza mijitumbo yao,Ndugai kweli ana matatizo ya kiakili kama nifahamuvyo unaweza kumuona mtu mzima mzima lakini ubongo Wake una matatizo so hapa moja Kwa moja NDUGAI ana matatizo makubwa ya kiakili japokuwa yeye mwenyewe halifahamu hilo ila namshauri amuone mtaalam wa Theraphy ampe ushauri.Kuhusu ati Chadema watapoteza kamabi ya Upinzani hii angetakiwa asema mtoto wa darasa la kwanza lakini sio NDUGAI maake hapa hapatafutwi kuwa Chadema wawe viongozi wa kambi ya upinzani Bungeni ila kitafutwacho ni kuwa na KATIBA NZURI YA WATANZANIA WOTE kwani hata kama chama kingine kesho kitakuwa kiongozi wa Upinzani basi katiba iwepo nzuri Kwa wote,akili ya NDUGAI inafikiria tu madaraka lakini haifikirii Tanzania ijayo Ndugai anatakiwa aone zaidi ya mita mia tu zitamtosha kufikiria kuwa katiba sio ya Chadema ni yake yeye kama Mtanzania bila ya kujali kama yeye ni nani pia wanae,ndugu zake mke Wake na hata vizazi vijavyo zaidi ya miaka 100 ijayo hapo NDUGAI amesahaulika hata Kwa ukoo Wake so asitutishe Kwa njaa zake,Tunataka katiba nzuri itayoivusha Tanzania kule ambako tuna ndoto ya kuwa huko hata kama wakati huo tukiwa tumeitwa na bwana i mean tukiwa tushafariki so itawasaidia wajao.Anasema janja yao ni hofu kuwa bunge la katiba wabunge CUF wakiungana na wawakilishi wa znz ambao nao watakuja bunge la ktiba watakuwa wengi na hivo kuchukua nafasi ya kambi rasmi ya upinzani wakati wa hilo bunge la katiba. CDM wanalijua hilo ndo maana wanajaribu kucheza mchezo ili isiwe hivo waendelee kuwa kambi rasmi. Lissu povu linamtoka kumbe sababu hatakuwa na nafasi ya kusikika! chezea siasa!
Zemarcopolo punguza bang-eChadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...
You are an idiot. What the hell are you talking about? I know there will not be an official opposition as in Parliament but certainly there will be two opposing camps. You are just a piece of trash. Don't you ever insult people whom you do not even KNOW their CV. Shame on you!
kweli ndugai hamna kitu, yaani kwenye bunge maalumu la katiba kuna kambi ya upinzani? Kweli ccm ni majanga!Anasema janja yao ni hofu kuwa bunge la katiba wabunge CUF wakiungana na wawakilishi wa znz ambao nao watakuja bunge la ktiba watakuwa wengi na hivo kuchukua nafasi ya kambi rasmi ya upinzani wakati wa hilo bunge la katiba. CDM wanalijua hilo ndo maana wanajaribu kucheza mchezo ili isiwe hivo waendelee kuwa kambi rasmi. Lissu povu linamtoka kumbe sababu hatakuwa na nafasi ya kusikika! chezea siasa!