Ndugai afichua siri ya CHADEMA

Ndugai afichua siri ya CHADEMA

...katika hoja zoote za msingi na mustakabali wa mchi miaka mia ijayo,kwa kifupi tunatengeneza tanzania ya kesho. Yeye ndo hilo la msingi kaliona..?! Bila aibu anakuja mbele ya wanaume,wanawake na watoto kutueleza sababu za u.puuzi aliofanya,hicho ndo kimemsukuma...? Naogopa kuona moja ya muhimili muhimu wa dola unaongozwa na mtu mwenye mawazo ya waimba mipasho,naisikitikia nchi yangu...
ndugai ni pumbafu sana, ni mchafu kama choo cha stand enzi za mabasi ya uma miaka ya tisini kurudi nyuma.
 
Anasema janja yao ni hofu kuwa bunge la katiba wabunge CUF wakiungana na wawakilishi wa znz ambao nao watakuja bunge la ktiba watakuwa wengi na hivo kuchukua nafasi ya kambi rasmi ya upinzani wakati wa hilo bunge la katiba. CDM wanalijua hilo ndo maana wanajaribu kucheza mchezo ili isiwe hivo waendelee kuwa kambi rasmi. Lissu povu linamtoka kumbe sababu hatakuwa na nafasi ya kusikika! chezea siasa!
Bunge la katiba na kambi rasmi ya upinzani wapi na wapi??? Je anawazungumziaje CUF na NCCR Mageuzi ambao nao wameupinga mswada????? Jaribu kuwa makini hata wewe mleta uzi tumia AKILI.
 
Na huyo ndiyo mtu aliyepewa cheo kikubwa hivyo ana akili ndogo hivi, sijui hao wangine uwezo wao kiakili utakuwaje.
 
Anasema janja yao ni hofu kuwa bunge la katiba wabunge CUF wakiungana na wawakilishi wa znz ambao nao watakuja bunge la ktiba watakuwa wengi na hivo kuchukua nafasi ya kambi rasmi ya upinzani wakati wa hilo bunge la katiba. CDM wanalijua hilo ndo maana wanajaribu kucheza mchezo ili isiwe hivo waendelee kuwa kambi rasmi. Lissu povu linamtoka kumbe sababu hatakuwa na nafasi ya kusikika! chezea siasa!

Hopeless, stupid, fallacious, etc.
Tunga hadithi zenye akili. Huna sababu ya kuandika Maneno ya Ndugai. Anasema! So what? Unavyomuona Ana akili timamu?

Bunge la katiba Lina uhusiano gani na CUF, CCM au CHADEMA? Kweli Ndugai na were mwenyewe munaamini wajumbe wa Bunge la Katiba watachaguliwa kuwakilisha vyama vya siasa!
 
Anasema janja yao ni hofu kuwa bunge la katiba wabunge CUF wakiungana na wawakilishi wa znz ambao nao watakuja bunge la ktiba watakuwa wengi na hivo kuchukua nafasi ya kambi rasmi ya upinzani wakati wa hilo bunge la katiba. CDM wanalijua hilo ndo maana wanajaribu kucheza mchezo ili isiwe hivo waendelee kuwa kambi rasmi. Lissu povu linamtoka kumbe sababu hatakuwa na nafasi ya kusikika! chezea siasa!
Wewe ni kichaa. Nani kakwambia Bunge la katiba litafuata kanuni za bunge la Muungano? Kanywe kiroba ulale
 
Bora ungeandika kiswahili tu ili wamatumbi wenzako wakuelewe ulitaka kusema nini. Hii tabia ya kujitutumua kuandika kienglisha halafu bado kinakupiga chenga haikusaidii chochote na hakuna mtu yeyote atakayevutiwa kutaka kujua cv yako.

Inaonekana wewe una matatizo kichwani au labda tu hujui, au labda tu ni tabia yako kukosoa/au kuchangia mada au post yoyote unayoikuta humu. Hicho kiingereza kina tatizo gani [grammatical error]???? hahahahahahahaa. Hata hivyo ujumbe umefika.
 
Aliyekukosoa Ana maana kabisa!! Lakini we bado huoni Kota la lugha uliyomwaga! Imebidi niku-like kabisa. Bado huoni kosa la lugha?
 
Hii ni kiini macho kwani hata wale tuliowategemea wanjua nini maana ya kuandika katiba mpya wanakuja na sera za ajabu ajabu. Bunge la katiba halina chama na kura zinapigwa sio kichama ni mtu binafsi akiwakilisha wananchi waliomchagua au asasi iliyomtuma. Hivi tutaendelea na huu usanii mpaka lini nchi inaelekea kusko kwa kukosa viongozi wenye hekima!
 
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...

kwa nini ukiwa kwenye majukwaa mengine unakuwa na pweinti(pointi) lakini hapa ghiliba na upotoshaji wa ajabu?

Mkuu utakuwa na "aleji" na hili jukwaa la siasa .....! Vinginevyo unipesababu tofauti.
 
Huwa najiuliza kuhusu Ndugai kama anawatoto wenye umri wa kujitambua wanamfikiriaje baba yao hasa huko mashuleni make maamuzi na mitizamo yake huwa ni janga kwa taifa. Hadi huwa nahic watoto wake hawatumii ubin wa Ndugai.
 
Rais wa nchi aliyeasisi mchakato wa katiba mpya kasema wazi kwamba katiba inayoundwa siyo ya vyama vya siasa bali ni ya Watanzania wote wenye vyana na wasio na vyama ambao ndiyo wengi. Haya mambo ya kambi ya upinzani kwenye bunge maalumu la katiba inaanzia wapi.

Mtu unaweza kuwa na cheo watu wakashindwa kujua ulikipataje. Ama kweli ni taabu sana kwa akili ndogo kuitawala akili kubwa. Jamani kuweni macho maana huyo naye unaweza kusikia 2015 atagombea urais anadhani kwa kupata nafasi ya kuchaguliwa na watu 200 anaweza pia akawa na ushawishi na kuchaguliwa kuwa rais. Haya bwana safari njema.
 
kazi ipo. huyo ndiye naibu spika wa bunge la jamhuri ya muungano. Inaelekea uwezo wake ni mdogo mno. Sijui hao walompa unaibu spika wana uwezo gani kiakili. Au ndiyo matokeo ya chama cha wauza unga ?
 
"Hofu cuf kuchukua nafasi ya kambi rasmi ya upinzani wakati wa hilo bunge la katiba"
Toa source of this information.
tatizo ni akili ndogo kuongoza akili kubwa.
hakuna hoja hapo
 
Back
Top Bottom