Ndugai afichua siri ya CHADEMA

Ndugai afichua siri ya CHADEMA

Anasema janja yao ni hofu kuwa bunge la katiba wabunge CUF wakiungana na wawakilishi wa znz ambao nao watakuja bunge la ktiba watakuwa wengi na hivo kuchukua nafasi ya kambi rasmi ya upinzani wakati wa hilo bunge la katiba. CDM wanalijua hilo ndo maana wanajaribu kucheza mchezo ili isiwe hivo waendelee kuwa kambi rasmi. Lissu povu linamtoka kumbe sababu hatakuwa na nafasi ya kusikika! chezea siasa!
Acheni unanga ninyi maccm ninyi mnawaza vyeo tu muda wote mi nikajua mmechambua hoja kumbe mnajadili vyeo
 
Mkuu, hebu tuache mipasho kwanza... hivi unadhani ni sahihi huu mchakato wa katiba kuendeshwa ki-CCM vs CDM? Maana nadhani hata kwenye bunge la katiba kutakuwa na watu ambao hawawakilishi vyama...

Ni kweli kuwa kitendo cha Chadema kutaka kumonopolise huu mchakato hakipaswi kuvumiliwa. Katiba ni ya watanzania wote, sio ya vyama vya siasa...
 
Katika muswada uo sijaona mahali panaelezea kuusu kambi ya Upinzani..Nishasemaga vile viroba unavyokunywa pale chako ni chako vinakuaribu sana Ndugai utaki kunielewa
 
Anasema janja yao ni hofu kuwa bunge la katiba wabunge CUF wakiungana na wawakilishi wa znz ambao nao watakuja bunge la ktiba watakuwa wengi na hivo kuchukua nafasi ya kambi rasmi ya upinzani wakati wa hilo bunge la katiba. CDM wanalijua hilo ndo maana wanajaribu kucheza mchezo ili isiwe hivo waendelee kuwa kambi rasmi. Lissu povu linamtoka kumbe sababu hatakuwa na nafasi ya kusikika! chezea siasa!

Sitegemei Jk angekuja kwenye media aseme "Ndg. zangu Watanzania Tundu Lisu na CDM walikuwa sahihi kabisa maana Zanzibar hawakushirikishwa hivyo wapongezwe" . Hivi nani wa ccm anaweza kusema haya? Kwa wale wenye uelewa wa falsafa kitendo cha Jk kuunga mkono hoja ya tume kuuwepo kwenye bunge la katiba ambayo ni moja ya hoja za Lisu tayari ameshakubali kuwa lisu yuko sahihi. Pia kitendo cha kusema warudi wakazungumze tayari anakubaliana na lisu na cdm kuwa kuna mapungufu japo hasemi..kwanini asingetamka kuwa sitaki na nitasaini? Halafu wapinzani si kwamba hawtaki mazungumzo ila ndungai ndiye hataki mazungumzo ndio maana alimnyima KUB nafasi ya kuzungumza bungeni
 
Anasema janja yao ni hofu
kuwa bunge la katiba wabunge CUF wakiungana na wawakilishi wa znz ambao
nao watakuja bunge la ktiba watakuwa wengi na hivo kuchukua nafasi ya
kambi rasmi ya upinzani wakati wa hilo bunge la katiba. CDM wanalijua
hilo ndo maana wanajaribu kucheza mchezo ili isiwe hivo waendelee kuwa
kambi rasmi. Lissu povu linamtoka kumbe sababu hatakuwa na nafasi ya
kusikika! chezea siasa!

upumbavu mtupu, kwani kwa bunge la katiba kipaumbele chake ni kambi rasmi ya upinzani bungeni? acha ujinga lissu alianza kusikika kabla hajawa mbunge uliza tukuambie, hoja ya msingi ni kwamba ww na ccm ndo mnahofu ya kupoteza utawala wenu katika taifa hili ingawa tayari hamkubaliki...so mnataka sheria iendelee kuwabeba...stupid!
 
Huwa nikiandika jina la naibu spika lazima nile ban! Job . . . . . . .
 
Anasema janja yao ni hofu kuwa bunge la katiba wabunge CUF wakiungana na wawakilishi wa znz ambao nao watakuja bunge la ktiba watakuwa wengi na hivo kuchukua nafasi ya kambi rasmi ya upinzani wakati wa hilo bunge la katiba. CDM wanalijua hilo ndo maana wanajaribu kucheza mchezo ili isiwe hivo waendelee kuwa kambi rasmi. Lissu povu linamtoka kumbe sababu hatakuwa na nafasi ya kusikika! chezea siasa!
Mbuge Job Ndugai apimwe akili by Job Lusinde (Mtela).
 
si kweli mkuu,bunge laa katiba unajua kanuni zake mkuu?au unataka kuleta ushabiki kama wa NAPE HK na ABDALAH bULEMBO?
 
Anasema janja yao ni hofu kuwa bunge la katiba wabunge CUF wakiungana na wawakilishi wa znz ambao nao watakuja bunge la ktiba watakuwa wengi na hivo kuchukua nafasi ya kambi rasmi ya upinzani wakati wa hilo bunge la katiba. CDM wanalijua hilo ndo maana wanajaribu kucheza mchezo ili isiwe hivo waendelee kuwa kambi rasmi. Lissu povu linamtoka kumbe sababu hatakuwa na nafasi ya kusikika! chezea siasa!

kama ulimsikiliza katika this week in perspective basi utakuwa kingereza kinakusumbua
 
Wewe uliyeleta hii habari na huyo Ngugai wako lazima muwe weh.u kabisa. ULiambiwa na nani kuwa kwenye bunge la katiba kutakuwa na kambi rasmi ya upinzani? Aheri kuwa bubu lakini ukawa na akili kuliko ukawa na uwezo wa kunena lakini ukapungukiwa uelewa.

Anasema janja yao ni hofu kuwa bunge la katiba wabunge CUF wakiungana na wawakilishi wa znz ambao nao watakuja bunge la ktiba watakuwa wengi na hivo kuchukua nafasi ya kambi rasmi ya upinzani wakati wa hilo bunge la katiba. CDM wanalijua hilo ndo maana wanajaribu kucheza mchezo ili isiwe hivo waendelee kuwa kambi rasmi. Lissu povu linamtoka kumbe sababu hatakuwa na nafasi ya kusikika! chezea siasa!
 
Kama kweli kayasema haya ndugai basi rais auahirishe mchakato wa katiba kwani ndani ya chama chake ukiacha kutokuwa na nia ya dhati kuna watu wenye uwezo mdogo sana.
kama ndugai ameisikiliza tume ya maridhiano inayoongozwa na moyo atagundua kuwa wazanzibar wapo pamoja na nia yao ni kuipata znz yenye mamlaka kamili kwa maana hiyo serikali tatu.
chadema nao wanataka serikali tatu,ccm serikali mbili sasa nani hapo anaioga cuf?
halafu kuna wajumbe 166 anajua watakaa upande gani?
 
Yaani ukiwasikiliza na kusoma comment za maccm unapatwa na hasira sana siku zote wanawaza utumbo tu
 
Hivi kwenye bunge la katiba kuna vya upinzani na tawala tena?!!! Maana vile nijuavyo litakuwa bunge neutral (literally), ambalo zaidi ya wabunge hawa wa kupitia vyama, kutakuwa pia na wajumbe watakaokuwa wameteuliwa kuwakilisha taasisi mbali mbali ambazo hazihusiani na vyama...

Hivi ni kwa nini akina ndugai na w. malecela wanauweka huu mchakato wa katiba ki-ccm vs CDM, wakati katiba itakuwepo hata kama hivyo vyama vita-expire?!!!
Mkuu TUKO, nakupa high 5! Wanasiasa wengi hata mawaziri wanamawazo yasiyo sawa kuwa mpambano ndani ya mchakato huu ni kati ya CCM na CDM! Wanashindwa kufahamu kuwa mwisho wa siku katika bunge hilo utakuwa mpambano kati ya nchi mbili zinazounda Muungano wa Tanzania. Kwa mfano katika susla la aina ya serikali, CUF, CDM, na wengi wa wabunge wa CCM kutoka visiwani wanakubali serikali tatu! Wangetazama ki hivyo!
 
Siku zote nilikuwa najua kuwa Mh. Ndugai ana uwezomdigo wa kujengahoja na kuwasilisha hoja. Lakini sikujua uwezo wake ni mdogo kiasi hiki. Inakuwaje mtu anaetetea hoja ya kutaka uwakilishi mpana bungeni usiozingatia itikadi awe na ajenda ya kutetea mamlaka ya chama chake kama kambi rasmi ya upinzani. Kwa muono wa Ndugai bunge la katiba analigawa katika kambi mbili yaani watetezi wa serikali na wapinzani. Wale 166 wanaochaguliwa na makundi mbalimbali anawaweka wapi? Kwa sababu wakishaingia hao hata hata CUF hawatakuwa na wabunge wa kuzidi idadi hiyo. Huo ni mtazamo finyu na unadhihirisha kuwa toka mwanzo nia ya Ndugai ni kuhakikisha kuwa bunge hilo la katiba ninakuwa na wabunge wengi wenye mtizamo wa kiCCM kadiri iwezekanavyo. Ndiyo maana hoja ya Lisu na upinzani kwa ujumla ya kutaka wajumbe hao 166 wasiteuliwe(kupitishwa) na raisi inapingwa na Ndugai na wote wenye mawazokama yake.
 
Back
Top Bottom