Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,643
Mbona wamejificha kwenye kunde migongo ipo nje kweupe.
ujinga m2pu
Anasema janja yao ni hofu kuwa bunge la katiba wabunge CUF wakiungana na wawakilishi wa znz ambao nao watakuja bunge la ktiba watakuwa wengi na hivo kuchukua nafasi ya kambi rasmi ya upinzani wakati wa hilo bunge la katiba. CDM wanalijua hilo ndo maana wanajaribu kucheza mchezo ili isiwe hivo waendelee kuwa kambi rasmi. Lissu povu linamtoka kumbe sababu hatakuwa na nafasi ya kusikika! chezea siasa!

Siasa za chadema ni chafu kama maji ya vingunguti zinanuka kabisa.
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...

kama ningekuwa na ndugu kama ZeMarcopolo ningempeleka kwenye mbuga ya wanyama yenye simba na chui halafu namuacha simba wapate kula na kuishi angalau watalii waje tupate mapato ya kujenga shule za nchi hii.Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...
kama ningekuwa na ndugu kama ZeMarcopolo ningempeleka kwenye mbuga ya wanyama yenye simba na chui halafu namuacha simba wapate kula na kuishi angalau watalii waje tupate mapato ya kujenga shule za nchi hii.
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...
Nafasi ya kuongoza upinzani kwenye bunge la katiba HAWATAIPATA, wao wapige kelele tu ambazo hazimzuii mwenye nyumba kulala! Shame.