chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
Acheni unanga ninyi maccm ninyi mnawaza vyeo tu muda wote mi nikajua mmechambua hoja kumbe mnajadili vyeoAnasema janja yao ni hofu kuwa bunge la katiba wabunge CUF wakiungana na wawakilishi wa znz ambao nao watakuja bunge la ktiba watakuwa wengi na hivo kuchukua nafasi ya kambi rasmi ya upinzani wakati wa hilo bunge la katiba. CDM wanalijua hilo ndo maana wanajaribu kucheza mchezo ili isiwe hivo waendelee kuwa kambi rasmi. Lissu povu linamtoka kumbe sababu hatakuwa na nafasi ya kusikika! chezea siasa!
Mkuu, hebu tuache mipasho kwanza... hivi unadhani ni sahihi huu mchakato wa katiba kuendeshwa ki-CCM vs CDM? Maana nadhani hata kwenye bunge la katiba kutakuwa na watu ambao hawawakilishi vyama...
MJIMPYA
kwenye Bunge la katiba kuna upanda wa upinzani na upande wa chama
tawala?.......hapa umechemka
Anasema janja yao ni hofu kuwa bunge la katiba wabunge CUF wakiungana na wawakilishi wa znz ambao nao watakuja bunge la ktiba watakuwa wengi na hivo kuchukua nafasi ya kambi rasmi ya upinzani wakati wa hilo bunge la katiba. CDM wanalijua hilo ndo maana wanajaribu kucheza mchezo ili isiwe hivo waendelee kuwa kambi rasmi. Lissu povu linamtoka kumbe sababu hatakuwa na nafasi ya kusikika! chezea siasa!
naisi atakuwa mtuwako anayekupa lisheChadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...
Anasema janja yao ni hofu
kuwa bunge la katiba wabunge CUF wakiungana na wawakilishi wa znz ambao
nao watakuja bunge la ktiba watakuwa wengi na hivo kuchukua nafasi ya
kambi rasmi ya upinzani wakati wa hilo bunge la katiba. CDM wanalijua
hilo ndo maana wanajaribu kucheza mchezo ili isiwe hivo waendelee kuwa
kambi rasmi. Lissu povu linamtoka kumbe sababu hatakuwa na nafasi ya
kusikika! chezea siasa!
Mbuge Job Ndugai apimwe akili by Job Lusinde (Mtela).Anasema janja yao ni hofu kuwa bunge la katiba wabunge CUF wakiungana na wawakilishi wa znz ambao nao watakuja bunge la ktiba watakuwa wengi na hivo kuchukua nafasi ya kambi rasmi ya upinzani wakati wa hilo bunge la katiba. CDM wanalijua hilo ndo maana wanajaribu kucheza mchezo ili isiwe hivo waendelee kuwa kambi rasmi. Lissu povu linamtoka kumbe sababu hatakuwa na nafasi ya kusikika! chezea siasa!
Anasema janja yao ni hofu kuwa bunge la katiba wabunge CUF wakiungana na wawakilishi wa znz ambao nao watakuja bunge la ktiba watakuwa wengi na hivo kuchukua nafasi ya kambi rasmi ya upinzani wakati wa hilo bunge la katiba. CDM wanalijua hilo ndo maana wanajaribu kucheza mchezo ili isiwe hivo waendelee kuwa kambi rasmi. Lissu povu linamtoka kumbe sababu hatakuwa na nafasi ya kusikika! chezea siasa!
Anasema janja yao ni hofu kuwa bunge la katiba wabunge CUF wakiungana na wawakilishi wa znz ambao nao watakuja bunge la ktiba watakuwa wengi na hivo kuchukua nafasi ya kambi rasmi ya upinzani wakati wa hilo bunge la katiba. CDM wanalijua hilo ndo maana wanajaribu kucheza mchezo ili isiwe hivo waendelee kuwa kambi rasmi. Lissu povu linamtoka kumbe sababu hatakuwa na nafasi ya kusikika! chezea siasa!
Mkuu TUKO, nakupa high 5! Wanasiasa wengi hata mawaziri wanamawazo yasiyo sawa kuwa mpambano ndani ya mchakato huu ni kati ya CCM na CDM! Wanashindwa kufahamu kuwa mwisho wa siku katika bunge hilo utakuwa mpambano kati ya nchi mbili zinazounda Muungano wa Tanzania. Kwa mfano katika susla la aina ya serikali, CUF, CDM, na wengi wa wabunge wa CCM kutoka visiwani wanakubali serikali tatu! Wangetazama ki hivyo!Hivi kwenye bunge la katiba kuna vya upinzani na tawala tena?!!! Maana vile nijuavyo litakuwa bunge neutral (literally), ambalo zaidi ya wabunge hawa wa kupitia vyama, kutakuwa pia na wajumbe watakaokuwa wameteuliwa kuwakilisha taasisi mbali mbali ambazo hazihusiani na vyama...
Hivi ni kwa nini akina ndugai na w. malecela wanauweka huu mchakato wa katiba ki-ccm vs CDM, wakati katiba itakuwepo hata kama hivyo vyama vita-expire?!!!
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...