CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,250
- 12,868
hbr za ucku wanaf,jaman kuna ndoto huwa inanisumbua sana. huwa naota nagombana sana na dada yangu wa tumbo moja. iwe ni ugomvi wa maneno kupgana au kutukanana ila mara nyng huwa ninamshinda. naichukia sana hii ndoto yan haipiti mwez lazima niiote. Majimoto naomba unipe ushaur juu ya hii ndoto pia wadau wenye idea yoyote naomba msaada..