Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,487
- 2,344
Wakati wa mchakato wa uchaguzi mkuu, CCM ilitabiri kifo cha CHADEMA kama ikishindwa katika kiti cha urais kwa kuwa ilimkaribisha Lowassa.
Na ndoto za watu wengi ilikuwa kukiona chama cha ACT kuwa mbadala wa CHADEMA dhana iliyofeli kwa kushuhudia ACT ikipokea kipigo kitakatifu kutoka kwa wapiga kura huku CHADEMA ikipokea zawadi ya wabunge wengi na ruzuku kubwa na kuendelea kuwa chama kikuu cha upinzani.