Ndoto za ACT na dua ya CCM vyayeyuka kama barafu kwenye moto

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,487
2,344
Wakati wa mchakato wa uchaguzi mkuu, CCM ilitabiri kifo cha CHADEMA kama ikishindwa katika kiti cha urais kwa kuwa ilimkaribisha Lowassa.

Na ndoto za watu wengi ilikuwa kukiona chama cha ACT kuwa mbadala wa CHADEMA dhana iliyofeli kwa kushuhudia ACT ikipokea kipigo kitakatifu kutoka kwa wapiga kura huku CHADEMA ikipokea zawadi ya wabunge wengi na ruzuku kubwa na kuendelea kuwa chama kikuu cha upinzani.
 
UKAWA kwa kujiliwaza bwana! Yule mliyokuwa mnampigia deki barabara ilikuwa awe mbunge au atinge Ikulu? Haya ni maneno ya mkosaji! ACT inaongoza Halmashauri ya Mji wa Kigoma/Ujiji tofauti na NCCR, NLD na CUF ambao hawaongozi Halmashauri yeyote Tanzania Bara.
 
Mapema mno kubwabwaja. Saa hz wote mko kwrnye denial stage na post election depression. Akili zikiwatulia ndio mtajua mmevuna au mmepoteza
 
UKAWA kwa kujiliwaza bwana! Yule mliyokuwa mnampigia deki barabara ilikuwa awe mbunge au atinge Ikulu? Haya ni maneno ya mkosaji! ACT inaongoza Halmashauri ya Mji wa Kigoma/Ujiji tofauti na NCCR, NLD na CUF ambao hawaongozi Halmashauri yeyote Tanzania Bara.

kila mtu anajuwa watanzania hawakumchagua Magufuli mfumo umemuweka, magufuli kama hajafa kabla ya miaka mitano kupita atatawala kwa adha dhiki na tabu sana manake si chagua la wananchi bali chagua la wahafidhina wa ccm na kitengo
 
Hivi chaguo la wananchi ni lipi? maana kumekuwa na mambo ya wanasiasa kuamua mambo na kuyaita matakwa ya uma,hebu jiulize kabla ya wakina Mbowe kwenda kumleta Lowassa ni mwananchi gani aliyekuwa akimtaka Lowassa? halafu mnakuja kutuambia ni chaguo la wananchi.
 
Jipe moyo! Wewe unaweza kufa kabla ya yeye. Kama hakuchaguliwa na watanzania, hizo kura zilipigwa na mfumo? Rais ameshapatikana kama haumtambui nenda kanunue kamba aina ya KUDU ujitundike au unywe Thiodan! Imekula kwenu UKAWA.
 
Kama hauko informed bora ukae kimya, CUF wanaongoza Tanga jiji, Halmashauri ya mtwara mikindani, Kilwa na Tandahimba. Wamesimamisha wabunge 50 bara wamepata viti 10.,Act wabunge takribani 200 wameambulia kitu kimoja .
 
Wewe sio Mtanzania!!Lowassa ni chaguo la watanzania tangu yupo ccm,hata mkutano mkuu kule dodoma walilithibitisha hilo mbele ya jk, ndio maana ya 'ulipo tupo'.
 
Kama hauko informed bora ukae kimya, CUF wanaongoza Tanga jiji, Halmashauri ya mtwara mikindani, Kilwa na Tandahimba. Wamesimamisha wabunge 50 bara wamepata viti 10.,Act wabunge takribani 200 wameambulia kitu kimoja .
Niambie kuhusu NCCR na NLD! Mbona unaruka hivi vyama?
 
kila mtu anajuwa watanzania hawakumchagua Magufuli mfumo umemuweka, magufuli kama hajafa kabla ya miaka mitano kupita atatawala kwa adha dhiki na tabu sana manake si chagua la wananchi bali chagua la wahafidhina wa ccm na kitengo

mawazo ya kivision five
 
Cuf Mtwara mjini kilwa zote 2 na jiji la tanga mapenzi yalipo zaliwa
 
UKAWA kwa kujiliwaza bwana! Yule mliyokuwa mnampigia deki barabara ilikuwa awe mbunge au atinge Ikulu? Haya ni maneno ya mkosaji! ACT inaongoza Halmashauri ya Mji wa Kigoma/Ujiji tofauti na NCCR, NLD na CUF ambao hawaongozi Halmashauri yeyote Tanzania Bara.

Wakati mwingine sio lazima kuandika tu ili tu uonekane umechangia mjadala,
 
Jipe moyo! Wewe unaweza kufa kabla ya yeye. Kama hakuchaguliwa na watanzania, hizo kura zilipigwa na mfumo? Rais ameshapatikana kama haumtambui nenda kanunue kamba aina ya KUDU ujitundike au unywe Thiodan! Imekula kwenu UKAWA.
Mutakunywa nyie na kipepelete wenu kasha kkuwa mwehu anavunja bodi ya muhimbili iliyokwisha muda wake anafunga maduka ya dawa nje ya muhimbili yaliyopewa vibali na serikali ya ccm si tayari kasha anza uchizi baada ya uchizi ni kufa tuu hafiki mbali
 
mawazo ya kivision five
kiongozi yeyote anayekalia madaraka kwa njia ya dhuluma analaanika yeye na kizazi chake ndio maana huyo mjamaa kasha anza kuonyesha kuchanganyikiwa he doesn't know he wanted the position
 
UKAWA kwa kujiliwaza bwana! Yule mliyokuwa mnampigia deki barabara ilikuwa awe mbunge au atinge Ikulu? Haya ni maneno ya mkosaji! ACT inaongoza Halmashauri ya Mji wa Kigoma/Ujiji tofauti na NCCR, NLD na CUF ambao hawaongozi Halmashauri yeyote Tanzania Bara.

kaka vip CUF inaongoza Mji wa Tanga
uko wapi wewe
 
Back
Top Bottom