Basi leo niko hapo mvinyo huwa haukifu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji781] [emoji781] [emoji779] [emoji779]Ooohhh mshanaaa.... wacha nikusapraizi hapo halafu nakufumba macho kwa nyuma.
Hahahahhaa poleeeee bwana ila nilipenda pale ukipoletewa bahasha [emoji39] [emoji39]Hahahahaa usinikumbushe machungu ile haikuwa ndoto nililala lokapu bana looh sina hamu na polisi hadi leo.
Hahahahhaa safi sana hope now umeanza kuwapenda rafiki zetuHahahahahaa asantee yeah japo nilikuwa na hasira na machungu ila bahasha iliyapunguza kidogo
Waiting.. [emoji781] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Jiandae kusapraisiwa....
Ngoja nimwambie uncle mshana akupe dawa ya kusahauSiwachukii ila nina hofu nao sanaa... sidhani kama naweza kuwa rafiki nao....
[emoji100] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Waiting.. [emoji781] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]