Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,250
- 3,451
Akitokea Kijijini Chato akapita Dodoma,akamwapisha Jaji mmoja aliyetoa hukumu kwa lugha ya kiswahili,ndani ya wiki mbili ndani ya Ikulu ya Dodoma akaota ndoto,kwa kiingereza wanasema "nightmare" kesho yake wakiwa jogging na mkewe,akamuhadhithia ile ndoto akamwambia,"Mwenzio Jana usiku nimeota ndoto nafukuzwa na Simba,nilikimbia sana mbele nikaona mlango wa nyumba,mtu mmoja akiwa amevalia vazi jeupe akafungua mlango akaniashiria niingie kwenye ile nyumba ndio ikawa pona yangu". Mkewe akatahamaki kusikia ile ndoto akaitafakari sana lakini hakuichukulia serious,wiki iliyofuata Wakaelekea Morogoro,JPM akafungua soko la Kingalu,akalala pale na kesho yake JPM akaingia Dar na mwezi uliofuatia JPM akaaga Dunia.
Nini tafsiri ya hii Ndoto kwenye ulimwengu wa Kiroho?
Nini tafsiri ya hii Ndoto kwenye ulimwengu wa Kiroho?