PostGE2025 Ndoto: Nimeota watanganyika wameandamana kimasihara

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
15,167
Reaction score
28,194
Jana usiku sikulala mapema kwa kuwa nilikuwa naperuzu humu hadi saa nane usiku.

Asubuhi nilienda kanisana kama kawaida yangu. Sasa kwa sababu sikupata usingizi mzuri usiku nikaanza kusinzia kanisani na hatimaye nililala fofofo kiasi cha kutosikia kilichosemwa na padre.

Ghafla nikaanza kuota. Nikaona watu (watanganyika) wakiandamana kwa wingi na Maandamano yale yalianza kimasihara baada ya vijana wawili kusema "twendeni tukawatoe Samuya na raisi wa mawe..."

Bila kuchelewa nilijumuika nao huku tukiimba nyimbo za kuwadhihaki wahuni na kuwatishia kuwakata makende nami ndiye nilikuwa naanzisha hizo nyimbo.

Isivyobahati nikashtuka usingizini na kujikuta niko mwenyewe kanisani, waumini wameshatawanyika muda mrefu. Kwa kweli niliona aibu sana.

Haya wajuzi waje wanieleze maana ya ndoto hii ya mchana.

Mshana Jr.
 
Hata mimi jana nilivuta ganja night nikaota ndoto ya maono eti bi chura amekata moto

Ndoto hii ni ya ukweli ikijirudia tena leo itakuwa balaa inatisha

9dec tukutane road.
 
Jana usiku sikulala mapema kwa kuwa nilikuwa naperuzu humu hadi saa nane usiku.

Asubuhi nilienda kanisana kama kawaida yangu. Sasa kwa sababu sikupata usingizi mzuri usiku nikaanza kusinzia kanisani na hatimaye nililala fofofo kiasi cha kutosikia kilichosemwa na padre.

Ghafla nikaanza kuota. Nikaona watu (watanganyika) wakiandamana kwa wingi na Maandamano yale yalianza kimasihara baada ya vijana wawili kusema "twendeni tukawatoe Samuya na raisi wa mawe..."

Bila kuchelewa nilijumuika nao huku tukiimba nyimbo za kuwadhihaki wahuni na kuwatishia kuwakata makende nami ndiye nilikuwa naanzisha hizo nyimbo.

Isivyobahati nikashtuka usingizini na kujikuta niko mwenyewe kanisani, waumini wameshatawanyika muda mrefu. Kwa kweli niliona aibu sana.

Haya wajuzi waje wanieleze maana ya ndoto hii ya mchana.

Mshana Jr.
Ulipostuka usingizini ulijikagua huko
nyuma uko sawa?
Isije kuwa wakati umesinzia wana walipita na Yas!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom