Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,501
- 6,646
- Thread starter
- #21
Mabega yanataka kuchomokašššNdogo hizi zilikuwa nzito, ukiweka na maji mabega lazima yashuke. Ina mlio wake wa kipekee unapoitua chini ukaachia mkono
Mabega yanataka kuchomokašššNdogo hizi zilikuwa nzito, ukiweka na maji mabega lazima yashuke. Ina mlio wake wa kipekee unapoitua chini ukaachia mkono
Ivyo yan
2000 mule mule bila kipingamiz mkuušššššš½āāļøš mm sio wa elfu mbili lakin hilo chuma sijatumia
Ilimkata mtoto wa sheha kweƱye paji la uso, sitasahau.Ndoo zilizotulea Ndoo bati kopo la batiš¤£š¤£š¤£View attachment 3143351
Any OG always last the longestAlmost vitu vingi viliundwa ku last
Zilikua ngum sanaHii ndoo ishawahi nichana mkonon kovu mpaka leo
Ndooo!Nn iyo?
š¤£Is that a filter funnel wazeeNdoo zilizotulea Ndoo bati kopo la batiš¤£š¤£š¤£View attachment 3143351
Alafu ndo nzito kuliko kimiminika cha ndani..šššZilikua ngum sana
pio pio au sioBola kushonwa unapigwa pio pio kabisaššš
Acha kabisaAlafu ndo nzito kuliko kimiminika cha ndani..ššš
š š š Nimecheka sanaIkikudondokea mguuni lazima ukashonwe š¤£š¤£
We mhenga mwenzangu umelezea uhalisia kabisaš š šNdogo hizi zilikuwa nzito, ukiweka na maji mabega lazima yashuke. Ina mlio wake wa kipekee unapoitua chini ukaachia mkono
Cha kubebea kizito kuliko kilicho bebwaaš¤£Ndooo!
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£šIkikudondokea mguuni lazima ukashonwe š¤£š¤£
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Na mwenzake karai, siku hizi ndo yanakaangiwa maandazi.....wahenga tulikua tunaogea.
Hamna asee2000 mule mule bila kipingamiz mkuušššššš½āāļø