Ndondondo si chururu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndondondo si chururu

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Mountainmover, Nov 9, 2010.

 1. M

  Mountainmover Member

  #1
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Nimekuja kuwapa changamoto...nahamisha milima
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,380
  Likes Received: 19,656
  Trophy Points: 280
  changamoto zipi hizo mkuu? na milima inaihamisha toka wapi kwenda wapi?...
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Nov 9, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Huyu mgeni mtata, by the way tumkaribishe na tusubiri kuona hiyo milima inavyohamishwa.
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mmmmh,usije kuondoa watu jamvini bureeeeeeeeeeeee!!
   
 5. M

  Mountainmover Member

  #5
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Milima ni matatizo yaliyo kwenye jamii yetu. Kama kuna watu hapa jamvini ni tatizo then their days are numbered.

  'Where there is no vision people perish'
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,380
  Likes Received: 19,656
  Trophy Points: 280
  wewe umekuwa mods?kama sikosei utakuwa umeingia cha kike,,humu ndani huwezi kuondoa mtu ....wewe mwaga hoja zako watu watakujibu na kuzijadili
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  haya bwana karibu .......
  lakini kuna waataaalum sana huku ndani
  ambao wameshazileta hizo changamoto..
  itakuwa fresh kusikia za kwako pia...
  na milima angalia isije ikawa mizito sana
  ikakuhamisha wewe....
  take it easy and take care:peace:
   
 8. M

  Mountainmover Member

  #8
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Touchy touchy.. Huh? Ni mwendo wa antivirus!
   
Loading...