igwee frm anambra
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 956
- 1,502
π umeshajua kwamba Aaliyyah ni KE?Oya mwanangu Mmarekani eeh... huyo Aaliyyah Si mwanao na mnabonga fresh tu?! π₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ€
Nipakie kilainishi basi nikiingiza mistari yangu iteleze tu mtoto anielewe, nipitishwe bila kupingwa π₯Ίπ₯Ί
Uvumilivu watu hawana kabisa, changamoto kudogo tu mtu anadai au kutoa talaka . Talaka imekua fashion mpaka watu wanafanya parties kusherehekea.Matatizo ni mengi ndugu.kikubwa busara na uvumilivu
Ndoa ni mapatano ya watu wawili,na mkubaliano.tmekubaliana tutamove on na kuachana na maex we inawasiliana nao unatarajia nini
Hapo kwa kupemda muonekano sio tabia nako ni kipengele kingine
Anaekupenda atatafuta solution tiba hadi unapona!Na km hauna nguvu za kiume basi mateso ni usiku wa manane mpaka usiku
Usilie mkuu unapoteza pointsYe mwenyewe anajua kwamba ana moyo wangu huyo πππ
Hutaki nini.Aisee,now sitaki tena mkuu
Oa..huwezi jua inaweza kuwa tofautiNimefika umri wa kuoa lakini nawaza sana kufanya maamuzi kuoa, maana kwenye maisha yangu nachukia sana tabia ya kuoa na kuacha alafu zama hizi hakuna utulivu kwenye ndoa ni ndoa chache sana zenye migogoro yenye kuvumilika nyingi zina migogoro isiyovumilika.
Yote haya husababishwa na MWANAMKE/WANAWAKE... tulieni nyie kenge!
Hakutakuwa na matatizo kwenye ndoa duniani.
Tulia kwanza kula maisha πππNimefika umri wa kuoa lakini nawaza sana kufanya maamuzi kuoa, maana kwenye maisha yangu nachukia sana tabia ya kuoa na kuacha alafu zama hizi hakuna utulivu kwenye ndoa ni ndoa chache sana zenye migogoro yenye kuvumilika nyingi zina migogoro isiyovumilika.
Binadamu ni wa ajabu sana, hata ikimsaidia bado atakuumizaAnaekupenda atatafuta solution tiba hadi unapona!
Halafu unaanza kuw kitombi hulali nyumbani..
Umeona???
Hohehahe mtumainiye mungu jichanganye ujute πMwambie asije kujichanganya πππ
Sinoni makuu sanaaa fal(er) weweUsipende kunukuu vitu usivyoelewa wewe. Ukishindwa kukaa kimya bora utembeze hilo kalio pichu ifurahi.
Ni kama kitchen party[emoji1][emoji1] mi mwenzio sijui singo ni nini pamoja na kukulia pwani
Nlikua najua kitchen party na kuchezwa ngoma tuNi kama kitchen party
....mara nyingi ni dada na marafiki zake wanamfanyia mdogo wao anayeolewa...inakuwa ya vijana watupu
Aje taratibu wengine sie wasela majina tu ya kikeHohehahe mtumainiye mungu jichanganye ujute π
ππSubir kwanzaUshaolewa? π₯Ίπ₯Ίπ₯Ί