Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,173
- 190,751
Hili napinga sababu sikuwahi kuwa malaya maishani ila mwanamke alinifunza kutafta faraja nje sababu ya makelele yasiokoma😁😁😁Gubu hili mara nyingi zinahusu mchepuko, hapa mwanaume amekosa majibu ya maswali magumu.

