Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,641 Reaction score 47,662 Feb 7, 2014 #61 Ni kweli kabisa usemayo
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,914 Feb 7, 2014 #62 Marytina said: nimekumiss pia. watu wanafiki ila ukweli bado mechi za njee zipo Click to expand... Unazipiga hizo za nje??
Marytina said: nimekumiss pia. watu wanafiki ila ukweli bado mechi za njee zipo Click to expand... Unazipiga hizo za nje??
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Feb 7, 2014 #63 Weka picha
kbosho JF-Expert Member Joined Jun 4, 2012 Posts 13,073 Reaction score 6,639 Feb 7, 2014 #64 mm nlikuwa napenda sana kucheat, ila na mm nlivyo geuziwa kibao roho ilivyo niuma, nme komaga....
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,940 Feb 7, 2014 #65 Dah! hayeni bana...
mwallu JF-Expert Member Joined Sep 5, 2013 Posts 6,787 Reaction score 4,215 Feb 7, 2014 #66 ahaaaaaa. sasa nimefahamu kwa nini kisukuma chako kiko vile Eiyer said: Marytina ....... Arusha ndio home Mama mchaga baba mngoni ....... Nimemis sana hiyo makitu,hebu tiririka na moja aiseee!!!!!!! Click to expand...
ahaaaaaa. sasa nimefahamu kwa nini kisukuma chako kiko vile Eiyer said: Marytina ....... Arusha ndio home Mama mchaga baba mngoni ....... Nimemis sana hiyo makitu,hebu tiririka na moja aiseee!!!!!!! Click to expand...
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 Feb 7, 2014 #67 Mbu said: .. Lizzy, ushawahi ku "cheat?" kama jibu ni Hapana, endelea na namba #1 kama jibu ni Ndio, endelea na namba #2 1. Unasubiria nini? 2. Ulijiskiaje? Click to expand... Hahahahahah Mbu bana. . .bado sijapata wa kucheat nae. .Lolz Nipe uzoefu basi nijiandae! 😉 Marytina Sasa my dear kama nna IOLO ndio nitafute kufa haraka kwa mapanga,bastola, presha, mgoma n.k? Toria wewe unasimamia wapi? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mbu said: .. Lizzy, ushawahi ku "cheat?" kama jibu ni Hapana, endelea na namba #1 kama jibu ni Ndio, endelea na namba #2 1. Unasubiria nini? 2. Ulijiskiaje? Click to expand... Hahahahahah Mbu bana. . .bado sijapata wa kucheat nae. .Lolz Nipe uzoefu basi nijiandae! 😉 Marytina Sasa my dear kama nna IOLO ndio nitafute kufa haraka kwa mapanga,bastola, presha, mgoma n.k? Toria wewe unasimamia wapi?
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 Feb 7, 2014 #68 kbosho said: mm nlikuwa napenda sana kucheat, ila na mm nlivyo geuziwa kibao roho ilivyo niuma, nme komaga.... Click to expand... Safi sana. Mentor we kula ujana tu bana, usiogope japo nyie kina Mangi ndio mnaongoza kwa kuleta maafa mkitendwa. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kbosho said: mm nlikuwa napenda sana kucheat, ila na mm nlivyo geuziwa kibao roho ilivyo niuma, nme komaga.... Click to expand... Safi sana. Mentor we kula ujana tu bana, usiogope japo nyie kina Mangi ndio mnaongoza kwa kuleta maafa mkitendwa.
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,914 Feb 7, 2014 #69 mwallu said: ahaaaaaa. sasa nimefahamu kwa nini kisukuma chako kiko vile Click to expand... Kwani umeelewa nini hapo??
mwallu said: ahaaaaaa. sasa nimefahamu kwa nini kisukuma chako kiko vile Click to expand... Kwani umeelewa nini hapo??
KakaKiiza JF-Expert Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,902 Reaction score 9,323 Feb 7, 2014 #70 Nicas Mtei said: Nilishawahi kuwa cheater, sasa nimestaafum nakula pensheni Click to expand... Hivi ku-cheat ndo nini eti?? mwallu, Heaven on Earth nitafurahi sana nikijua hili neno!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Nicas Mtei said: Nilishawahi kuwa cheater, sasa nimestaafum nakula pensheni Click to expand... Hivi ku-cheat ndo nini eti?? mwallu, Heaven on Earth nitafurahi sana nikijua hili neno!!
Nicas Mtei JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 11,556 Reaction score 7,106 Feb 8, 2014 #71 charminglady said: Naomba kuja kula pensheni na wewe Mwenyekiti wa #TeamBazazi !!!!!!!!!! :hungry: :hungry: Click to expand... Karibu sana charminglady tufurahi katika ulimwengu huu wa raha Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
charminglady said: Naomba kuja kula pensheni na wewe Mwenyekiti wa #TeamBazazi !!!!!!!!!! :hungry: :hungry: Click to expand... Karibu sana charminglady tufurahi katika ulimwengu huu wa raha
Nicas Mtei JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 11,556 Reaction score 7,106 Feb 8, 2014 #72 miss chagga said: kigezo cha watoto ndo huwa kinaniumiza sana ila kama amuna watoto tembeza tu bara barani kama pipipi Click to expand... We ushatembeza kote?
miss chagga said: kigezo cha watoto ndo huwa kinaniumiza sana ila kama amuna watoto tembeza tu bara barani kama pipipi Click to expand... We ushatembeza kote?
Mbu JF-Expert Member Joined Jan 11, 2007 Posts 12,752 Reaction score 7,876 Feb 8, 2014 #73 Lizzy said: Hahahahahah Mbu bana. . .bado sijapata wa kucheat nae. .Lolz Nipe uzoefu basi nijiandae! 😉 Marytina Sasa my dear kama nna IOLO ndio nitafute kufa haraka kwa mapanga,bastola, presha, mgoma n.k? Toria wewe unasimamia wapi? Click to expand... .....weeee, temea pembeni... Ukianza huachi!!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Lizzy said: Hahahahahah Mbu bana. . .bado sijapata wa kucheat nae. .Lolz Nipe uzoefu basi nijiandae! 😉 Marytina Sasa my dear kama nna IOLO ndio nitafute kufa haraka kwa mapanga,bastola, presha, mgoma n.k? Toria wewe unasimamia wapi? Click to expand... .....weeee, temea pembeni... Ukianza huachi!!!
Ablessed JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 4,616 Reaction score 3,502 Feb 8, 2014 #74 Ujumbe murua kabisa lkn wataelewaaaa . Gharama ya kucheat ni kubwa mno kuliko faida .
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,175 Reaction score 34,410 Feb 8, 2014 #75 Hayo mawazo yanakujaga basiiii.
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,175 Reaction score 34,410 Feb 8, 2014 #76 Mbu said: .....weeee, temea pembeni... Ukianza huachi!!! Click to expand... Its like you are high on something and you need to keep puffing to stay high. Uongo?
Mbu said: .....weeee, temea pembeni... Ukianza huachi!!! Click to expand... Its like you are high on something and you need to keep puffing to stay high. Uongo?
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,130 Feb 8, 2014 #77 I ride wild n' free, no commitments. am too young for keepin it locked in one chicka, whats fun and adventure in that?
I ride wild n' free, no commitments. am too young for keepin it locked in one chicka, whats fun and adventure in that?
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Feb 8, 2014 #78 nicas mtei said: we ushatembeza kote? Click to expand... mimi yangu naificha wee huku nina baba yangu acha maneno mengi
nicas mtei said: we ushatembeza kote? Click to expand... mimi yangu naificha wee huku nina baba yangu acha maneno mengi
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Feb 9, 2014 #79 KakaKiiza said: Hivi ku-cheat ndo nini eti?? mwallu, Heaven on Earth nitafurahi sana nikijua hili neno!! Click to expand... hahaa dady ushajua maana ya hilo neno au bado tafsiri inahitajika
KakaKiiza said: Hivi ku-cheat ndo nini eti?? mwallu, Heaven on Earth nitafurahi sana nikijua hili neno!! Click to expand... hahaa dady ushajua maana ya hilo neno au bado tafsiri inahitajika
A asakuta same JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 14,829 Reaction score 5,039 Feb 9, 2014 #80 itafikia muda unastaafu tu mwenyewe aseeeeh!!!!!!!!!!!!!