Ndoa zenu zipoje?

Cha msingi mshtue kuwa umejua..na umwambie je ingekua mm umenibamba angefanyaje...la msingi hakikisha amejua umejua...huo ni mwanzo mzuri mengine solve pole pole..mwanaume akikupenda atafanya mauza uza yake kwa kificho kikubwa baada ya kujua tukio la kwanza..hataki kuchafua cv kwa mara ya pili
Huyu ni kunguni my dear kabla yangu alikuwa naye na sasa ameenda naye ustawi wa jamii kudai watoto wote hata hao wadogo
 
Watalelewa na bibi na kweli nimemuheshimu nikaondoka kwa amani ila huyu mtu haoni kama anaheshimiwa eti ananipeleka na hawara yake yaani hawara yake yupo naye ustawi wa jamii wakitaka watoto wangu hadi hawa mapacha wadogo .
Ustawi wa jamii hawawezi kukubali watoto wakalewe na hawara wakati wewe upo hai

Just relax, stay calm, usijibizane wala kufanya mashindano , muache yeye na hawara wahangaike wewe tulia
 
Kama kabda yako alikua naye na ulijua, Kwaiyo wewe ndo ulimfuata mwanamke mwenzako kwenye himaya yake

Na kama ulijua uliwezaje kuingia katika NDOA na mtu wa aina hi ambae unajua anamwanamke mwengine ?

Kuna vitu vya kuvumiliana katika NDOA kwa mwenza lakini sio zinaa/ngono, hichi kitu hata ukikivumilia Lazima kitakuja kukutafuna t KIROHO na kimwili b'se magonjwa ni Mengi Sana saivi

Na hili ndilo tatizo kubwa kwa mabinti wa kizazi hichi kuingia katika NDOA kwa kuongozwa na hisia na tamaa ya macho something which is very very wrong

Ni MUNGU pekee yake ndie awezae KUMBADILISHA MTU , Kwaiyo ilikua ni jukumu lako kwenda mbele za MUNGU na kumlilia ili kuiponya NDOA yako

Mithali 14:1

"Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe."

Mwanamke huwezi kukwepa hatia ya NDOA yako kubomoka B'se MUNGU ameiweka NDOA mikononi mwa Mwanamke Kwaiyo ni maamuzi ya MWANAMKE aibwage au aijenge

👉Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Mwanamke ukiijua nafasi yake katika NDOA na aakasimama kikamilifu katika hizo nafasi MWANAUME hawezi kua na NENO juu yake na NDOA itakua takatifu na MUNGU ataabudiwa kikamilifu na kusudi la MUNGU kuumba NDOA litatimia b'se MUNGU aliumba NDOA ili iwe pepo /mbingu NDANI ya hu ulimwengu

lakini now days imekua kinyume chake NDOA zimegeuka jehunum 😂

👉mwanamke mwenye HEKIMA na mnyenyekevu hujenga demand (uhitaji) kwa MWANAUME, ina maana MWANAMKE mwenye HEKIMA humvuta MWANAUME (Mme wake) karibu na yeye

👉lakini mwanamke mwenye kiburi na jeuri humfukuza MWANAUME mbali na yeye, kamwe MWANAUME hawezi kua karibu au kumsogelea Mwanamke mwenye kiburi na jeuri ndo ile unakuta mme akitoka asubuhi kuludi Usiku nyumbani hakai 😁🏃🏼‍♀️

akina mama badilikeni mziponye NDOA zenu ✍️

Huyu ni kunguni my dear kabla yangu alikuwa naye na sasa ameenda naye ustawi wa jamii kudai watoto wote hata hao wadogo
 
Jipende.
Usimjali
Fanya kazi kwa bidii jitegemee kwa kipato chako, anakudhaeau kwa sababu anaona huna jinsi ya kufanya jwa sababu unamtegemea 100%
 
Kama kabda yako alikua naye na ulijua, Kwaiyo wewe ndo ulimfuata mwanamke mwenzako kwenye himaya yake

Na kama ulijua uliwezaje kuingia katika NDOA na mtu wa aina hi ambae unajua anamwanamke mwengine ?

Kuna vitu vya kuvumiliana katika NDOA kwa mwenza lakini sio zinaa/ngono, hichi kitu hata ukikivumilia Lazima kitakuja kukutafuna t KIROHO na kimwili b'se magonjwa ni Mengi Sana saivi

Na hili ndilo tatizo kubwa kwa mabinti wa kizazi hichi kuingia katika NDOA kwa kuongozwa na hisia na tamaa ya macho something which is very very wrong

Ni MUNGU pekee yake ndie awezae KUMBADILISHA MTU , Kwaiyo ilikua ni jukumu lako kwenda mbele za MUNGU na kumlilia ili kuiponya NDOA yako

Mithali 14:1

"Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe."

Mwanamke huwezi kukwepa hatia ya NDOA yako kubomoka B'se MUNGU ameiweka NDOA mikononi mwa Mwanamke Kwaiyo ni maamuzi ya MWANAMKE aibwage au aijenge

👉Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Mwanamke ukiijua nafasi yake katika NDOA na aakasimama kikamilifu katika hizo nafasi MWANAUME hawezi kua na NENO juu yake na NDOA itakua takatifu na MUNGU ataabudiwa kikamilifu na kusudi la MUNGU kuumba NDOA litatimia b'se MUNGU aliumba NDOA ili iwe pepo /mbingu NDANI ya hu ulimwengu

lakini now days imekua kinyume chake NDOA zimegeuka jehunum 😂

👉mwanamke mwenye HEKIMA na mnyenyekevu hujenga demand (uhitaji) kwa MWANAUME, ina maana MWANAMKE mwenye HEKIMA humvuta MWANAUME (Mme wake) karibu na yeye

👉lakini mwanamke mwenye kiburi na jeuri humfukuza MWANAUME mbali na yeye, kamwe MWANAUME hawezi kua karibu au kumsogelea Mwanamke mwenye kiburi na jeuri ndo ile unakuta mme akitoka asubuhi kuludi Usiku nyumbani hakai 😁🏃🏼‍♀️

akina mama badilikeni mziponye NDOA zenu ✍️
Ngoja tujifunze lakin ukweli hali ni ngumu sana ndoa za miak hii changamoto
 
Ndoa uvumilivu ..ingependeza wadada/mama/bibi mjibuni mwenzenu
Kwakweli ndoa ni uvumilivu sijafikia angle hiyo ila nimebahatika kuwa karibu na watu ambao wako kwenye ndoa na wamezeekea humo na wachache hawajawah kupewa hata talak 1 ..

Kiukweli ndoa ni uvumilivu,wote sijawahi kumsikia anasema alikuwa viizuri na mume had umri huo wa uzee
Wengi uvumilivu ndo unewafikisha hapo makosa, Ni mengi,madhaifu ni mengi
Maudhi ndio ya kutosha
mamaangu anasemaga ukitaka kudumu kwenye ndoa jifanye fyuzi mbili Tatu kichwani km hazipo😀😀😀ukienda unaakili zako timamu hutoboi
 
Raha ya mume muwe wanne
Mf.mie nikaolewa nawewe halafu nikakuahidi nitaachana na huyo niliyekuwepo jua kuwa hata huyo ni mie nilikuwa mke wakaka yako ila sio kwa ndoa . Halafu ukadai sawa .uliponioa ukaanza maisha kumbe nipo pamoja tu na nduguyo sasa jiulize ukija jua nipo na huyo kaka yako utafanyaje?? Na wakati ushanizalisha na pia tumeishi miaka mingi ukijua kuwa mie nipo nawewe?? Kumbe mie bado nipo naye .
 
NI mama yako sijakataa ila kwangu nimeshindwa
 
Mf.mie nikaolewa nawewe halafu nikakuahidi nitaachana na huyo niliyekuwepo jua kuwa hata huyo ni mie nilikuwa mke wakaka yako ila sio kwa ndoa . Halafu ukadai sawa .uliponioa ukaanza maisha kumbe nipo pamoja tu na nduguyo sasa jiulize ukija jua nipo na huyo kaka yako utafanyaje?? Na wakati ushanizalisha na pia tumeishi miaka mingi ukijua kuwa mie nipo nawewe?? Kumbe mie bado nipo naye .
Swali lako mbona ni tofauti kabisa na reply yangu, anyway iyo situation haiwezi kutokea kwangu maana siwezi kukuoa nikiwa najua upo kwenye mahusiano mengine na hata ikitokea unachepuka kimya kimya nikigundua basi tunaachana hapo hapo, kwangu kosa la usaliti halina msamaha.
 
Back
Top Bottom