Ndoa zenu zipoje?

Pole my dear, anza kujipenda tafuta hela, go shopping, kula vizuri....asipate nafasi ya kuona au kuhisi maumivu yako.
 
Ndoa za mabinti wa 2000's hivi.
Michepuko haijaanza leo wala jana.

Sio jambo la kuwatupia lawama madogo wa 2000s.

Familia zina siri sana michepuko,kuzaa nje, kutelekeza watoto na mambo mengi yote haya hubaki siri ya kambi watoto sio rahisi kufahamu.

Kuishi na mwanamke mmoja mpaka uzee sio rahisi.

huwezi kula ugali maharage kila siku, siku zingine unakula wali nyama.
 
Ndoa sisi ni ya kutuheshimisha tuu ila tusionekane wahuni ila wanawake hawaturizishi wao wanataka pesa na kelele tu, hapo ni nini utainjoy sasa wewe ni mbio tuu kuitafutia familia ata ausifiwi.

Upendo unapungua kwakweli akipatikana wa kukujali unajiegesha lakini moyo wako upo kuleee unapovurugwa yani hii taasisi ni mtihani kwa pande zote mbili
Mh mbona mambo magumu huko ndani!
 
Hiyo ndoa bado ila haya mahusiano tu nikijua ana mchepuko amekwisha. Huwa inakuwaje mpaka mwanaume anafikia kiburi cha aina hiyo?
Bwana wako ana kipoozeo cha pembeni na haufahamu, siku ukifahamu ni kwamba ameona hakuna uzito tena wa kuendelea kula chakula kimya kimya.
 
Pole sana sweetie

Love yourself,then others will love you, ongeza bidii kwenye kujipenda wewe kwanza, hao viumbe wasikutoe kwenye reli, ukimtilia maanani you will lose yourself within
Acha tu nimechoka tokea 2019 nimeolewa hadi sasa na 6 years kwenye ndoa huyu mtu kabla ya ndoa yetu walikuwa pamoja hadi leo nilidhani wataachana kisa anamke sasa dah hakunaga kunamtu kanipa picha zao halafu we acha tu ni live nataka ni achane naye niwe single kwa muda nipate raha ya moyo wangu
 
Back
Top Bottom