Ndoa za wasomi

Me huwa najiuliza,ndoa za watu ambao hawajaenda vidato huwa ziko vipi?maana naona kama zimekaa kipori pori flani hivi.
Wazazi wetu wengi sio wasomi na wameishi maisha ya upendo na ndo maana tupo hivi tulivyo. Mkuu kwa uzoefu wangu mimi kama mtafutaji wa kiwango cha chini ambae ni Sawa na 90% ya watz siafiki kuoa mke msomi, nimeziona ndoa nyiiingii na ukweli hata wewe unao,. Hao wasio wa shamba wa shamba ndoa zao hazidum kabisaaa
 
na wanawake wenye attitude za usawa wa kijinsia kama ndugu yetu hapo hawawez kuwa watiifu na wanyenyekevu, therefore huhisi kila jambo wana onewa na hujikuta sasa wanaingiza harakati kwenye ndoa, ndoa zenye za kibongo et

mweer!!
You have nailed it brother, wabadilishe atitude zao mbaya vinginevyo wataendelea kuwa michepuko.
 
hata wanawake sa unakuta matako ka umepigwa pasi nani, nani atoe pesa zake....... si bora upige nyeto tu
mkuu ujue utamu wa flat wewe uliza wenzio wanvyoenjoy kitu ukiweka inakuwa kama inamumunya acha kabisa.. makalio unakuwa kama upo kwenye kighorofa kama una kidudu kidogo uwezi kuzamisha yote .. dogie huwezi kuenjoy we acha tu utamu wa flat walio onja wakituona road wanatukimbilia
 
Uneongea jambo moja kubwa hapo;muoe yule uliemzidi elimu au kipato. Kwa kumzidi elimu ni changamoto maana anaweza kujiendeleza akakufikia au akakuzidi pia kwa hiyo bado attitude na malezi yana nafasi kubwa sana katika ustawi wa ndoa.
Kama wewe ni msomi usioe ambae hajasoma kabisa, bali oa uliemzidi kidogo.
 
Mwanaume akimzidi mwanamke hamna tatizo hapo, kimbembe ni mwanamke akimzidi mwanaume hapo shughuli yake pevu. Fanya vice versa hapo halafu utafute majibu
 
Kumbuka, wanaume wengine huoa wasomi kwa imani kwamba atapata kazi aitunze familia.Sasa kama msomi mwenyewe ni kicheche toka enzi,kuna ndoa hapo? Kuna wazee nasikiaga wakishauri vijana kwamba waoe tabia,na siyo pesa wala elimu.Wengine wakienda mbali,wanakwambia kabla ya kumuoa binti,muoe mama yake(wanachomaanisha hapa si kumbanjua mama mkwe jamani)!!!Kwanza mchunguze mama yake!Watoto walio wengi wa siku hizi,ukiona mama mkwe anatia shaka,ujue na binti yake ni hivyo hivyo.Ukizenguana nae utamwambia nani? Mama mtu si atakwambia wanaume wengi muache aje! Mtasuruhishana wapi? Si atakwambia twende hotel ya nyota 5 mi sikaagi vichochoroni! Utaujua mziki wa facebook generation.
Kuna mtu mmoja tulihudhulia harusi yake,mpaka mama mkwe kalewa kabebwa,group la mwanamke,mavazi aibuuuu mbele za wazee!Jama akawa amesikitika hana raha kabisa!Sasa cha ajabu siku hizi jama akitoka kazini akiuliza msosi mwanamke anamwambia sikuwepo nimemuachia housegirl, kurudi mpaka saa nne,akigombezwa tu,atarudi baada ya siku tatu.Jama ana watoto wakubwa,alizaa na mwanamke mwingine.Miezi miwili tu,jamaa anaomba msamaha arudiane na mama watoto. Huyu nae kashapata wa kumpooza joto,anamjibu wewe juzi umefunga ndoa,umeniarika nije nishuhudie,sasa endeleeni na mi nina wangu. Mkuu nae siku hizi anapiga picha na wadada mbali mbali anatupia insta na whatsapp kukomoa wife, nyumbani si hamna mtoto! Eti anahakikisha housegirl amepata msosi,yeye anakuja kubadilisha nguo tu, wife wake nae anatubia tupicha na mama yake wakiwa bar! Kugegeda sawa,lakini wengine wasiponzwe na ufundi wa wagegedwaji,wengi wao hawastahili kuolewa
 
Maneno yako kuntu
 
Nimependa avatar yako....ooops i meant your comment.
 
inategemea na malezi aliyokulia, ukioa ambae hajasoma sanaa pia ni shida, muombe mungu akuongoze umpate mke mwema usiangalie elimu, dini wala kabila utapotea kaka, omba mungu akupe wa kufanana nae
 


Umenichekesha hapo pa ku graduate kulea...lol
Hakunaga ku graduate kulea ukiwa mzazi.
Huyu dada hakuacha kazi kwa ajili ya maternity leave Iceman, aliacha kabisa kazi yake for a little over 3 yrs kumaliza kuzaa na kulea vichanga ndipo akarudi kazini, kuanza moja kutafuta kazi nyingine, happily akijua watoto wakubwa kiasi, na comfortable kuweza kuwaacha na mtu mwingine.
Point yangu nyingine ni kuonyesha jinsi wanawake wasomi wanavyoweza kuwa wife/mother materials.
 


Hii inferiority complex kwa wanaume nayo ni jipu. Mwanaume kujiamini bwana hata kama umezidiwa. Confidence itafunika mapungufu ya mtu. Lakini ni bora kujiongeza kama mwanamke anazidi, ili kupunguza wasiwasi.
 
khaaa!!
unachukua PhD Unataka kuja kuwa nan!!?


yaan MA haija kutosha, yeen wewe mimi hata ukiwa mzuri lets say kama beyonce siwez kukuoa (no offense hapo), ndio maana jamaa anaogopa sasa, inahitaj uvumilivu asee.
ila hongera for a lady kuoenda kusoma hvo
 


hujanishawishi hapo, lakin just nimependa your attitude ila, sku sasa ukiolewa jamaa anavo lalamika ndio utajua ukweli.
 
Field yangu inabidi nisome zaidi kupata promotion...
Napenda kusoma by the way... Nisipochukua PhD ntachukua masters nyingine
 

hujanishawishi hapo, lakin just nimependa your attitude ila, sku sasa ukiolewa jamaa anavo lalamika ndio utajua ukweli.


Hahaha, kwa kweli.
Lakini what more do you want?
Kama nyumbani mtu kakaa kwa muda kulea and then akarudi kazini. Hiyo haitoshi?
 
hiyo ina wezekana
mie mwenyewe future wife nataka hata akiwa la saba itakuwa poa
ila kama mnge reverse elim hapo baba awe la saba mama digrii
hehehehe sidhan kama mambo yangekuqa poa

by the way, RIP to our bful mom
 
Hahaha, kwa kweli.
Lakini what more do you want?
Kama nyumbani mtu kakaa kwa muda kulea and then akarudi kazini. Hiyo haitoshi?
haitoshi
na wala siyo sifa maana malezi ya mtoto tena ndio huwa untensive pale anakua kua kabsa, ndio kipindi cha kumshape, japo hata kuacha kwa muda alijitahidi, but sidhan kama imemuonesha she could be a mother and a wife perfectly.
all in all alicho kifanya si jambo la kubeza pia, ila si jambo la kulishkia bango kama mfano wa mama alo balance mambo waka haja imply chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…