Ameeen......
..tutaenda wote kusali this weekend(jumamosi), nataka kuiskia hiyo ameeen!!
Unipitie basi....
Hahahahahaa...utakula ulipopeleka mboga au siyoHaaahhaaa vya galaninvinaliwa galani
Vya jf tunakula Kaminski wa jf
Acha kuharibu
Huko unakuwa ujamabariki pdidy
Unabariki pale unapobarikiwa ushaona Mpendwa kabarikiwa katoliki kapeleka lutheran
Hatasikumoja...jifunzeni pale unapobarikiwa ndipo mbarikiwa anatakiwa ale...usije sema vya ngoswe mwachiie....sijasema hilo
Mambo mrembo? Umeadimika....Ha haaaaa.....
Mambo mrembo? Umeadimika....
Atoke wapi na aende wapi?pepo tokaaa
Tena chozi la mbu wa Dengue...Kama chozi la mbu
Nikutose nina ujasiri huo, wakati namba yangu unayo hata kunipigia hunipigii, mimi yako sina....au sina vigezo vya kuwa karibu na Malkia kama wewe?Nipo mkaka....umenitosa
pepo tokaaa
Nikutose nina ujasiri huo, wakati namba yangu unayo hata kunipigia hunipigii, mimi yako sina....au sina vigezo vya kuwa karibu na Malkia kama wewe?