Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
Nina uhakika hujamwelewa huyu Mnuruni...!
uirudishe ile avatar ya zamani.......
Nina uhakika hujamwelewa huyu Mnuruni...!
hata sijamwelewa nimempa point tatu za bure tungekesha
Usihofu Mpendwa wanuruni twatambuana kinuruni
Wewe umemwelewa huyu Mnuruni Pdidy?
Sawa mtume na nabii tumekusikia...kanisa lako liko eneo gani nije kutoa ushuhuda na sadaka ya shukrani...Usiache kyja kutoa ushuhuda hapa kama mungu ametenda mijuiza july ni mwezi wa breakthrough
Ngoja nimtumie mzee wa upako atakufowadia....Tuma Tigopesa Mpendwa namba ni ileile baba
Sawa mtume na nabii tumekusikia...kanisa lako liko eneo gani nije kutoa ushuhuda na sadaka ya shukrani...
Najua wanandoa wengi wanashinda kwenye mitandao ikiwemo JFkuondoa msongo wa mawazo kwenye ndoa na sio kwamba wanatamani kuchat muda wote.
Nawapongeza waanzilishi wa JF,hawajui wanaliwaza wangapi kwenye ndoa zao.Mnaponya wengi sana else
thread za misiba kila siku.
Asubuhi ya leo Jumanne any spirit of confusion be destroyed in jesus name.
Ndoa za JF zilizo kwenye hali mbaya zikawe huru in Jesus name.
Ameeeeeeeeen in Jesus name. Barikiwa PdidyNajua wanandoa wengi wanashinda kwenye mitandao ikiwemo JFkuondoa msongo wa mawazo kwenye ndoa na sio kwamba wanatamani kuchat muda wote.
Nawapongeza waanzilishi wa JF,hawajui wanaliwaza wangapi kwenye ndoa zao.Mnaponya wengi sana else thread za misiba kila siku.
Asubuhi ya leo Jumanne any spirit of confusion be destroyed in jesus name.
Ndoa za JF zilizo kwenye hali mbaya zikawe huru in Jesus name.
Chaki usiache kuombea ndoa hasa za jf
kumbuka kuna thread watuwanaleta wameumizwa kiutani uwezi amini ila ni kweli kabisa
nilikuwa na mtu leo ananlalamikia katika maongezi akusita kusema amewahi omba msaada wa mawazo jf na kutaja ubini anaotumia
nasikitika kuikumbuka hiyi thread na nilimjibu nenda kwawazazi wenu mkamalizane jf utaishia kupata ndoa yapili
nasikitika mpaka namwacha akujua naitwa nani ..ila nimeguswa kila mwenyepumzi na aombee wanandoa waliopo na watarajiwa
praise the lord
Ngoja nimtumie mzee wa upako atakufowadia....