Ndoa za wanaJF zikawe free in jesus name

Ndoa za wanaJF zikawe free in jesus name

miss neddy; mmmmmmh mtu umeongea nae live matatizo yake tena ni mwanajf mwenzio akipitia haya maandishi
Aibu kwetu
 
Najua wanandoa wengi wanashinda kwenye mitandao ikiwemo JFkuondoa msongo wa mawazo kwenye ndoa na sio kwamba wanatamani kuchat muda wote.

Nawapongeza waanzilishi wa JF,hawajui wanaliwaza wangapi kwenye ndoa zao.Mnaponya wengi sana else thread za misiba kila siku.

Asubuhi ya leo Jumanne any spirit of confusion be destroyed in jesus name.

Ndoa za JF zilizo kwenye hali mbaya zikawe huru in Jesus name.

Ameen , jf is part of me stress or no stress, thanks to all of you great people in here.
 
ila mastress yamezid ndoan bora tukeshe huku

Hahaaa nimeota ulimnyima sana mwenzio naa sasa mnafaidi tundra kuanzia Jana usiku ..acha kymlazimisha naniiyo stymie condom
 
Back
Top Bottom