Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,533
Kumbuka Mungu hakuumba adam na wakina Eva aliumba Adm & Eva tu angeumba wanawak wawili nahs hapo ingekuwa ruksa kbsa
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaWewe oa wanne kijana,ikiwa biblia imemuongelea huyo 'mshikaji' alizaa na wanawake wanne sasa why uwe na mashaka?achana na sheria za Italia,chukua maandiko ya mungu,fata nyayo za Jacob tu sasa maana hakuna namna...!
Abraham ana mke mmoja ila alizaa na wanawake wawiliAdamu alipewa wake wangapi? Ibrahimu alioa wake wangapi? Ukijibu hayo maswali utajua Mungu alikusudia nini juu ya ndoa.
Ni makosa kuchukulia kuwa kila kilichofanywa na watu maarufu kwenye Biblia basi ni ruhusa kutenda.
vv
SawaKuna haja ya hizi dini zetu zikafanya 'review' ya maandiko. maana takwimu za idadi ya watu zinaonyesha kuwa wanawake ni wengi mara tatu ya idadi ya wanaume. Hivyo sio haki kwa kuwa na mke mmoja. Hawa wanaokosa waume wanapata msongo wa mawazo na kuamua kutenda zambi, wanatupa vishawishi sisi wengine tuliotulia na mke mmoja.
Mleta uzi anajua kwamba Adam na Eva ndio waliumbwa mwanzo, kumvuka Yakobo alikuja baada ya huo uumbaji. Kama wake wengi ni kosa kwa kigezo cha ummbaji, Yakobo nae angekuwa mkosaji.
SawaAgano jipya linakataza kuwa na mke zaidi ya mmoja? Nnachofaham kuna mstari Paulo anasema inampasa Askofu awe mme wa mke mmoja. Sijaona mstari unaosema kuoa zaidi ya mke mmoja ni dhambi. Tupe elimu tafadhali
Mmmm!!! Sina uhakika na hilo kbsa kabla ya Adm hakukua na mtu mwngne tofaut na malaika tu xaxa hyo mtu au hao watu waliitwa wakina nan?Je wajua kabla ya Adam kulikuwa na watu wengine? Hivyo yawezekana kauli yako ya kuwa Mungu aliumba Adam na Eva tu ikawa na walakini kwa vile inawezekana kabisa kulikuwa na kina Eva na sio Eva tu.
Mmmm!!! Sina uhakika na hilo kbsa kabla ya Adm hakukua na mtu mwngne tofaut na malaika tu xaxa hyo mtu au hao watu waliitwa wakina nan?
SawasawaSidhani kama Biblia ndio inapaswa kutafsiri hivyo. Yaani kwa sababu fulani alifanya vile, basi na wakristo wafanye hivyo!!.
Sio kila kitu kilichofanywa na watu maarufu kwenye biblia basi wakristo wakopi na kupaste hicho kitu hivyo hivyo kilivyo.
Kwa mfano..
-Yesu aliishi na hakuoa kabisa. Je wakristo wasioe?
-Mfalme Sulemani alikuwa na Wake zaidi ya mia Tisa. Je wakristo wafanye hivyo?
-Maria alipata mimba ya Yesu pasipo kufanya mapenzi, Je wakristo waige hivyo?
kata kona usepe
Na wale walioambiwa wasimdhuru kaini Baada ya kumuua nduguye walitoka wapi??Mmmm!!! Sina uhakika na hilo kbsa kabla ya Adm hakukua na mtu mwngne tofaut na malaika tu xaxa hyo mtu au hao watu waliitwa wakina nan?
Still scientists wanaonyesha wanawake wanazaliwa kwa wingi kuliko wanaume.
Alafu wanaume wanakufa kwa wingi kuliko wanawake
Kumbuka kuna mashoga
Kuna ma padre ambao hawaowi kabisa.
Kwahiyo kama moja atakua na mke moja wengine wataenda wapi.
Ratio 1:4.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimelipenda jibu lako laiti wanaume wote wangeelewa hii logic dunia ingekua sehem salama ya kuishiKumbuka Mungu hakuumba adam na wakina Eva aliumba Adm & Eva tu angeumba wanawak wawili nahs hapo ingekuwa ruksa kbsa
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika Biblia Jacob alifanikiwa kuzaa na wanawake 4, kupitia hao wanawake 4 akazaa nao watoto 13, na hapo ndipo yakapatikana mataifa 12 ya Israel, hili limekaaje? Sasa kama Jacob alikuwa na wanawake 4, kwanini na mimi nisiwe na wanawake 4?
Wajuzi wa biblia mje hapa, waislamu tafadhali sana msilete matusi wala chuki za kidini.
Mungu alileta agano la jipya na amri mpya na amri kuu ni upendo
Mkuu naona kama unachanganya mambo, Mbona Jakobo hakua Mkristo,
Sasa unaposena ndoa za kikristo alafu unamtaja Jakobo... Unalinganisha vitu viwili tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Biblia inasema hivi kuhusu ndoa...Niambie biblia inasemaje kuhusu ndoa????
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Waislamu wanakuwa wengi kuliko wakristo huku Bara bado kidogo tutakuwa nchi ya kiislamu mara tuu idadi yao itakapozidi 50%. Wakristu Unganeni na Mimi Tuzae watoto wengi na wanawake wengi tuikomboe nchi yetu na hawa waislamu.
Just imagine muislamu mmoja wake wanne watoto 16 versus mkristu mmoja mke mmoja mchepuko mmoja watoto watatu.
Bado huyo mchepuko aolewe na muislamu na mtoto wako asilimishwe lahaulah lakwata!
Kwa hiyo Jacob alikuwa ni nani??Mkuu naona kama unachanganya mambo, Mbona Jakobo hakua Mkristo,
Sasa unaposena ndoa za kikristo alafu unamtaja Jakobo... Unalinganisha vitu viwili tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani unaweza ukatoa vifungu vya biblia vyenye hayo manenoBiblia inasema hivi kuhusu ndoa...
1/Mungu aliumba mtu mume(Adamu) na kisha mtu mke(Hawa).
2/Mungu alimfanyia Adamu msaidizi(mke) wa kufanana naye.
3/Mwanaume ataachana na wazazi wake na kuambatana na Mkewe.
4/Na kwa sababu ya kuepuka zinaa, kila mtu awe na mke wake mwenyewe.
5/Mwanaume ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja.
6/Apataye mke kutoka kwa Mungu, basi apata kitu chema.
7/Mwanaume amfurahie mke wa ujana wake.
8/Mwanaume na ampende mkewe, na mke anapaswa kumtii mumewe.
9/Alichokiunganisha(Ndoa) Mungu, mwanadamu hana mamlaka ya kukitenganisha.
10/Ndoa ni Agano la milele baina ya Mke na Mume, ni kifo tu kinachoweza kuwatengenisha.
12/Ndoa na iheshimiwe na watu wote.