Ndoa za wake wengi katika ukristo

Ndoa za wake wengi katika ukristo

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
7,328
Reaction score
6,650
Katika Biblia Jacob alifanikiwa kuzaa na wanawake 4, kupitia hao wanawake 4 akazaa nao watoto 13, na hapo ndipo yakapatikana mataifa 12 ya Israel, hili limekaaje? Sasa kama Jacob alikuwa na wanawake 4, kwanini na mimi nisiwe na wanawake 4?

Wajuzi wa biblia mje hapa, waislamu tafadhali sana msilete matusi wala chuki za kidini.
 
Andiko tunaomba?

Sent from "La -Vista"
 
Kuna haja ya hizi dini zetu zikafanya 'review' ya maandiko. maana takwimu za idadi ya watu zinaonyesha kuwa wanawake ni wengi mara tatu ya idadi ya wanaume. Hivyo sio haki kwa kuwa na mke mmoja. Hawa wanaokosa waume wanapata msongo wa mawazo na kuamua kutenda zambi, wanatupa vishawishi sisi wengine tuliotulia na mke mmoja.
 
Katika Biblia Jacob alifanikiwa kuzaa na wanawake 4, kupitia hao wanawake 4 akazaa nao watoto 13, na hapo ndipo yakapatikana mataifa 12 ya Israel, hili limekaaje? Sasa kama Jacob alikuwa na wanawake 4, kwanini na mimi nisiwe na wanawake 4?

Wajuzi wa biblia mje hapa, waislamu tafadhali sana msilete matusi wala chuki za kidini.
Mungu alileta agano la jipya na amri mpya na amri kuu ni upendo
 
Kumbuka Mungu hakuumba adam na wakina Eva aliumba Adm & Eva tu angeumba wanawak wawili nahs hapo ingekuwa ruksa kbsa

Sent using Jamii Forums mobile app

Mleta uzi anajua kwamba Adam na Eva ndio waliumbwa mwanzo, kumvuka Yakobo alikuja baada ya huo uumbaji. Kama wake wengi ni kosa kwa kigezo cha ummbaji, Yakobo nae angekuwa mkosaji.
 
Kweli sisi wakristo tumepewa agano jipya baada ya Kristo kufa msalabani.
Ndio maana hata zile adhabu za kule agano la kale hazitumiki tena.

Sent using Jamii Forums mobile app

Agano jipya linakataza kuwa na mke zaidi ya mmoja? Nnachofaham kuna mstari Paulo anasema inampasa Askofu awe mme wa mke mmoja. Sijaona mstari unaosema kuoa zaidi ya mke mmoja ni dhambi. Tupe elimu tafadhali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom