CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,929
Mwishowe watatuambia bila ya kupikia chakula chooni (badala ya jikoni) hakuna misaada
Japo Tanzania hakuna ndoa za Mashoga,lakini mashoga wapo wengi na wanajitangaza na wala hawafanywi.
Tumeiga mambo mengi sana kutoka nchi za magharibi lakini hili la ushoga halikubaliki hata kidogo!
umeona eehJapo Tanzania hakuna ndoa za Mashoga,lakini mashoga wapo wengi na wanajitangaza na wala hawafanywi.
mapodozi baab..katoka saloon huyo
Dah! Jamaa wametupia kitu cha kitenge...jamaa ameweka lip stick nyekundu..red hot, akitoka hapo anaenda kumpa mmewe mapenzi motomoto!!
nani anawafanya?hatari sana hii kitu,
ila bongo mbona wanazidi kuongezeka kila siku????
huyo anayekula huyu nae anamatatizo ya kiakili