Ndoa za mashoga.. Tz misaada mnaitaka sana ..uongo?

Mbona zinaa hamuichukii na wakati imekatazwa pia na dini zote na ni kinyume na hayo mnayoyaita maadili ya Mtanzania.Kama mengine mnavyoyafagilia na hili pia linafagiliwa tumetofautiana tu vitengo jaman.

Eeeeh...??????..:shock:.. Hapa nina wasiwasi.
 

SPANA shurti ikaze NATI.......kamwe SPANA haiwezi kukaza SPANA


7044056-spanner-with-nut.jpg
 
Tz wanaangalia upepo wanaeza kukubali si unajua tena serikali yetu
 
wapo wanaozitka tena saaana nikiongea hivyo nawaambia hawa wenzetu mashalobalo na hizo suruali zao inaoonyesha nijisigani walivyo jiaandaa mpaka ****** wazi na suruarizao .iga ufe uwongo tu nani kasema .
 
Exactly na huo ndio msingi ambao mtu yoyote anayefikiria anautumia kuzipinga ndoa hizi. Hazina maana wala tija kwa jamii. Ni upotofu wa maadili tu kuziruhusu. Tendo la ndoa sio tendo la starehe, ni tendo linalo paswa kuheshmiwa na ndio maana dini zote zinatakataa uzinzi. Ndo za jinsia 1 ni kuhalalisha matumizi ya viungo vya UZAZI kwa starehe kitu ambacho sio sahihi na unnatural...na waache kutupa misaada. Ardhi yenye rutuba tunayo, rasilimali watu ipo ya kutosha, tuna mito na maziwa ambavyo tutavitumia kikamilivu kuendesha maisha yetu.

Vato, wewe pinga hizo ndoa tu sababu hazitambuliwi na dini yeyote na ni kinyume cha maumbile lakini usiseme eti tendo la ndoa sio tendo la starehe! Ni la starehe kati ya wanandoa maana huwa wanasikia raha na raha ni starehe!
 
Hivi hili huwa ni tatizo la kisaikolojia ama huwa ni nini?yaani huyo wa kulia ndio bibi harusi!
 
Back
Top Bottom