Ndoa za mashoga.. Tz misaada mnaitaka sana ..uongo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoa za mashoga.. Tz misaada mnaitaka sana ..uongo?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Saint Ivuga, Nov 1, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,949
  Trophy Points: 280
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Sura zao tuu zinatia huruma
  Wasitupe kabisa hiyo misaada na hizo ndoa zao wafanyie huko huko
  Ila bora tubakie na utu wetu bana
   
 3. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  hizo sura zinatisha, rais mugabe alisema heri ya nguruwe kuliko hao jamaa ni wachafu sana.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,949
  Trophy Points: 280
  wapo ndani ya vitenge
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,949
  Trophy Points: 280
  nai atawafungisha ndoa? kanisa gani au msikiti ganni?
   
 6. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Japo Tanzania hakuna ndoa za Mashoga,lakini mashoga wapo wengi na wanajitangaza na wala hawafanywi.
   
 7. M Mahona

  M Mahona Senior Member

  #7
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wengi tunazipinga, kama ushoga upo na unaendelea ipo siku watafunga ndoa na itazoeleka tu.
   
 8. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hata wakifunga ndoa kuzaa hawataweza maana hawanaga viungo vya uzazi i.e k u m *
   
 9. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,987
  Likes Received: 691
  Trophy Points: 280
  Dah! Jamaa wametupia kitu cha kitenge...jamaa ameweka lip stick nyekundu..red hot, akitoka hapo anaenda kumpa mmewe mapenzi motomoto!!
   
 10. M Mahona

  M Mahona Senior Member

  #10
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siku zote fikra zao sio kupata watoto bali kuponda raha
   
 11. Vato

  Vato JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Exactly na huo ndio msingi ambao mtu yoyote anayefikiria anautumia kuzipinga ndoa hizi. Hazina maana wala tija kwa jamii. Ni upotofu wa maadili tu kuziruhusu. Tendo la ndoa sio tendo la starehe, ni tendo linalo paswa kuheshmiwa na ndio maana dini zote zinatakataa uzinzi. Ndo za jinsia 1 ni kuhalalisha matumizi ya viungo vya UZAZI kwa starehe kitu ambacho sio sahihi na unnatural...na waache kutupa misaada. Ardhi yenye rutuba tunayo, rasilimali watu ipo ya kutosha, tuna mito na maziwa ambavyo tutavitumia kikamilivu kuendesha maisha yetu.
   
 12. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,662
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
 13. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
 14. MGAWARIZIKI

  MGAWARIZIKI JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 306
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tumeiga mambo mengi sana kutoka nchi za magharibi lakini hili la ushoga halikubaliki hata kidogo!
   
 15. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hatuzitaki na misaada yao hutuitaki kwanza miaka neda rudi misaada haijatusaidia kitu sansana kuongeza mzingo wa madeni
   
 16. JICHO LA 3

  JICHO LA 3 JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wasituchezee akili zetu
  walivokaa hapo kama mizukule vile
  hovyoooooooooooooooooooooooo
   
 17. JICHO LA 3

  JICHO LA 3 JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nikizidi kumwangalia huyo anayejifanya mwanamke nahs kutapika maana ni kichefuchefu kilichopitiliza
   
 18. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hiyo nayo ndoa jamani au ushetani tu huo.
   
 19. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #19
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,156
  Likes Received: 3,353
  Trophy Points: 280
  Hilo shoga la kulia mbona lina mpua mwekundu.
   
 20. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #20
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  huyo anayekula huyu nae anamatatizo ya kiakili
   
Loading...