Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
yeeeeeeeraawiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Obviously mungu wenu kafeli vibaya sana....
kafeli wapi?Obviously mungu wenu kafeli vibaya sana....
kafeli wapi?
Mafia ya Bongo au?Kuna tamasha la mashoga linaandaliwa Mafia?? Kali, wametumia kivuli gani kupata kibali? sidhani...
Hawa watu weupe au wamarekani ni Mashetani ngojea Mwenyeezi mungu atakavyo wafanya utaona tu huko Amerika kabla ya mwisho wa huu mwaka.
Duh! We dogo unanukia upagani wa kufa mtu! Usije ukawa nawe umeolewa!Kafeli kwenye kila kitu. Si nyinyi waamini mungu kila siku hamuishi kumwomba awaepushie mbali haya mambo ya kishoga? Sasa kama kafanikiwa inakuwaje haya mambo yapo na yanazidi kushamiri?
So called mungu has miserably failed which lends credence to his nonexistence.
And I just don't get it. If y'all are repulsed by homosexuality then why in the hell almost every other day someone has to start either a new thread about it or post pictures showing homosexuals?
If I am repulsed by something I wouldn't even entertain the idea of trying to talk about let alone seeing it. I don't get y'all.
Kafeli kwenye kila kitu. Si nyinyi waamini mungu kila siku hamuishi kumwomba awaepushie mbali haya mambo ya kishoga? Sasa kama kafanikiwa inakuwaje haya mambo yapo na yanazidi kushamiri?
So called mungu has miserably failed which lends credence to his nonexistence.
And I just don't get it. If y'all are repulsed by homosexuality then why in the hell almost every other day someone has to start either a new thread about it or post pictures showing homosexuals?
If I am repulsed by something I wouldn't even entertain the idea of trying to talk about let alone seeing it. I don't get y'all.
Hahah hhaa ukitaka kuwafaidi tembelea Amsterdam haha h:A S 8:ahha:A S 8::A S 8:
Huku Holland ni kitu ya kawaida kabisaaa kuwa na Partiner wa same sex,tena hata Seeds wanavuta kihalali,serikali yao inahalalisha kila uchafu...huku no more than Sodoma na Gomorah.Nyakati za Mwisho,Tubuni
Hivi hii tabia ya kupiga ramli na kutabiri tabiri mnaitoa wapi nyie??!!!!!Hawa watu weupe au wamarekani ni Mashetani ngojea Mwenyeezi mungu atakavyo wafanya utaona tu huko Amerika kabla ya mwisho wa huu mwaka.