Ndoa yangu na sweetylady yaelekea kuvunjika

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,349
Reaction score
3,910
Ndoa hii imekuwa na migogoro isiyoisha ikiwa ni sweetylady kutolala nyumbani mara kwa mara, kuzuzuka na akina Filipo muuza maji Nimekuwa nikipokea shutuma nyingi kuzini nje ya ndoa.

Mgogoro huu umfikie Baba V
 
Last edited by a moderator:
Ndoa hii imekuwa na migogoro isiyoisha ikiwa ni sweetylady kutolala nyumbani mara kwa mara, kuzuzuka na akina @Fillipo muuza maji Nimekuwa nikipokea shutuma nyingi kuzini nje ya ndoa.

Mgogoro huu umfikie Baba V

Shem ni nini tena????? Afu ungekuja tukae kikao cha familia kwanza ndiposa uje jukwaani... kwani daddy watu8 ana taarifa hizi?????
 
Last edited by a moderator:
Ndoa hii imekuwa na migogoro isiyoisha ikiwa ni sweetylady kutolala nyumbani mara kwa mara, kuzuzuka na akina @Fillipo muuza maji Nimekuwa nikipokea shutuma nyingi kuzini nje ya ndoa.

Mgogoro huu umfikie Baba V

sasa kama ndoa yako inamgogoro ndio unataka kuniletea na mimi? Tafadhali sana Mkuu! Tafuta namna ya kutatua mgogoro wa ndoa yako. Mimi na sweetlady hatujawahi kuwa na uhusiano, haupo na hautakuwepo. Nipo na wife wangu marejesho nimetulia. Tunayakemea mapepo, maroho, na mashetani yote ya kuvunja ndoa! Mshindweee!
 
afadhali....a a....kila siku nyie tu....na wengine wapate nafasi......
 
sasa kama ndoa yako inamgogoro ndio unataka kuniletea na mimi? Tafadhali sana Mkuu! Tafuta namna ya kutatua mgogoro wa ndoa yako. Mimi na sweetlady hatujawahi kuwa na uhusiano, haupo na hautakuwepo. Nipo na wife wangu marejesho nimetulia. Tunayakemea mapepo, maroho, na mashetani yote ya kuvunja ndoa! Mshindweee!
Hasa Nicas Mtei ndio amezidi kunovurugia ndoa yangu
 
Last edited by a moderator:
Hatimaye umeyaona mwenyewe ndugu yangu nitonye , kaeni chini wewe na sweetlady ikiwezekana muwaite na jamaa zenu wa karibu mjadili mustakabali wa ndoa yenu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom