Kwa mfano saa tisa kasorobo hii wewe uko busy JF, yeye yuko wapi?
Dah!!!! Pole sana Mkuu. Inaumiza sana Mwanaume unapokosa haki yako toka kwa mkeo kwa sababu za uchovu wa mke halafu mume ukaamua kujitoa na kufanya kazi zote za nyumbani ili mke aweze kushiriki ipasavyo katika tendo la ndoa na bado hakuna ahueni yoyote. Kama hamna magomvi nyumbani kwenu basi labda ana matatizo ya kiafya Mkuu, hivyo jaribuni kuwaona wataalamu wanaweza kuwasaidia hivyo kuokoa ndoa yenu.
jini mahaba linaweza kuwa linamsonga....... ila mwaka mzima kweli mrefu.... mpaka umbake duh... na wakati unambaka anatoa ushirikiano?......fanya hivi.... anza kutoka kila siku rudi jioni,,jifanye kama huna habari nae... mzigo usiulize na ujikaze kweli kweli, uwe mpole kabisa,,, kuwa busy na watoto kwa sana.. tena siku nyingine jisahaulishe lala kwa watoto....lazima atagutuka, pia chunguza marafiki zake, kama una mbinu za kuwafahamu fanya....ila usiwaulize kitu,,, chunguza na wao tabia zao.....wanawake hawakosi mashosti kabisa....jaribu hapo tuone....
Pia inawezekana umekua unashindwa kumfikisha kileleni yani ukikutana nae unajifurahisha wewe unamaliza unamgeuzia mgongo,
hii pia inaweza ikachangia mkeo kulichukia tendo la ndoa na kutokua na hamu na wewe
Kaka hapo kuna mambo kama matatu hivi; 1. La kiimani, yawezekana akawa na pepo/jini mahaba ambalo humwingaia kwa njia ya ndoto na kumtimizia haja zake; pata muda umuulize taratibu kwanini siku hizi ajisikii hamu alafu mchomekee kiaina swari la kama anaotaga otaga ili asishtuke kama wamhisi kuwa anajini mahaba. Jibu atakalokupa litakupa dira either ya msaada wa kimaombi katika katisa la kiroho etc. 2. Tatizo la kisaikolojia, kutokana na mgandamizo wa mawazo na mambo tu ya kawaida yanayoendelea hapo nyumbani au kwa wazazi yanaweza changia hali hiyo. Hapa muone mwanasaikolojia ukishajiridhisha baada ya kukaa nae na kumhoji maswari mawili matatu. 3. Yaelekea unakaa sana nyumbani[kama unakuwa na muda hata wa kumsaidia kazi za nyumbani] she has got used to you. Uwe unasafiri safiri au kutoshinda hapo nyumbani na hata unapokuwa hapo jaribu kuishi tofauti na zamani[akuone mpya] 4. Mchunguze; sisi wanaume bhana, huwezi jua
Kutokana na maelezo haya basi ana tatizo la kiroho anahitaji kuombewa manake ziko roho zilizo kinyume na ndoa so anza maombezi. Hebu muulize kama anaona wanaume wote ni wanyama je kwanini aliolewa , haoni kwamba alikosea. Jitahidi kumuonyesha ukubwa wa tatizo alilo nalo na ashirikiane nawe ktk kuliondoa. Mungu akusaidie ktk hili lkn nina imani kubwa atafunguliwa na atakua huru. Ukishaanza huduma huduma utashangaa sana kwani mkono wa Bwana ni waajabu sana.
aje atujibu hapa............
kwa mwanamke mwenye nyege kabisaa huwez kulala na mwanaume mwaka mzima kama kaka na dada..............
hapa pana atatizo zaid ya tunavyodhani............huyu kaka kakosa sifa moja ya kiume
Mbingu - Nimejaribu kufuatilia stori yako kwa makini kabisa. Kulingana na mtiririko wa maelezo yako uliyoweka wazi tayari na kulingana na umri na uzoefu wangu (aka intellejensia yangu) ya ki maisha naweza kuona kuwa mkeo hakuwa na mapenzi ya dhati na wewe toka unamuoa.
Nikipiga picha haraka haraka inaonyesha kabisa nyinyi hamkuwa watu mlio 'fall in love' wenyewe. Kuna kila dalili kuwa wewe ndiye uliempenda zaidi yeye (mkeo) kuliko alivyokupenda wewe. Vilevile yaonyesha ulitumia msukumo na ushawishi mwingi zaidi kuweza kumu 'win' utashi wake yeye kuolewa na wewe. Inawezekana kuwa nduguze au wazee walishiriki kuweza ku 'override' will yake ya kuolewa na wewe.
Na hivyo pengine alijikuta ametumbukia kwenye ndoa akijaribu kukuridhisha au kuwaridhisha wazazi au wewe mwenyewe kwa ushauri wa kuwa atakupenda mbele ya safari. Na mara nyingi watu wanaoingia kwenye ndoa namna hii hufika wakati wabadilike wakupende kwa mwendelezo au warudi kwenye nafsi ya zamani na kuona wamefanya makosa makubwa na kuanza kuwa bored/ kusoneka (depressed). Na hili huwatokea watu wote wanaumme na wanawake.
Kwa wenzetu wa Western hufunguka na kuambiana ukweli na hapo masuala ya talaka huzungumzika. Waswahili hatuna hulka ya uwazi bali hupenda kutafuta sababu nyingineyo kabisa ya kuvunja ndoa japo moyoni anajua kabisa mtu hujua kuwa mapenzi yamesha chuja ,
Tazama hapa ...Quote "Mke wangu hapendi story na mimi tangu kitambo hicho..." Kauli hii inaeleza mengi sana...Mwanamke mwenye kukupenda kwa dhati hakufanyii mambo haya tena toka kitambo....Au mfano hii Quote "Mimi ni mtu anayependa kumuongelesha sana mke wangu..Ila yeye huwa anasema namchosha na maongezi marefu (hata kama tunajadiliana masuala ya kifamilia..Mimi ni mtu wa kujishusha sana kwake (Huwa namuomba samahani hata kama sijamkosea."... Yaani mkeo yuko bored na amekuchoka sana aisee. Na hiyo sio ndoa ndugu yangu.
Suluhu ya kweli fikeni mahali muulizane maswali magumu (hard talk) na mjue hatima na mustakali wenu kiukweli mbele ya wazee au mashahidi. Na kisha muamue way forward. Lakini kwa mapenzi hakuna mnaishi kwa mazoea tu. Wala msijidanganye kwa wingi wa miaka ya ndoa au watoto. Hilo halijalishi lakini kiukweli mapenzi hapo hakuna.
tabia hizi hua zipo kwa wanawake japo haiwi kila siku na haichukui muda mrefu. mke wako nadhani ana matatizo, either penzi limeisha kwako au wewe ndio una tatizo au na kiserengeti cha siri.
pamoja na yote yenye busara ulioshauriwa hapa, nadhani kuongea nae direct ni muhimu pia. mueleze unavyojisikia juu ya tabia yake, huenda na yeye ana lake atakuambia. hizo holiday unazoandalia watu, na wewe pia ungeandaa ya kwenu mkaenda ili muongee vizuri mbali na nyumbani kusiko na kero wala bughudha maana sidhani kama kuongelea nyumbani atakuelewa.
Unajua wakati mwingine mwanamme unaweza kua na kitu au kijitabia fulani ambacho mwenzio hakimfurahishi, lakini panapokua na penzi la dhati, unajifanya hukioni, lakini penzi likichuja sasa ndio unaona lile tatizo tena kwa ukubwa zaidi.
ukiwa open na kumueleza mkeo jinsi ambavyo unakwazika na tabia yake, nina imani kama ana ubinadamu atakueleza tatizo lake kubwa kwako ni nini ili uweze kujirekebisha.
Pole sana.
Nyege??! Hamu na nyege vinatofautiana???( Mke wangu ajisikii kufanya mapenzi basiiii) sasa sidhani kama ananyege alafu hataki kufanya mapenzi..!
Nimekosa sifa gani ya kiume?? mpendwa???? UBABE??? SIYO??..Ubabe naweza fanya katika mambo mengine(, Rudi nyumbani muda ninaotaka mimi,usiende mahali flani sitaki..NK.! LAKINI SUALA LA UBABE KATIKA KUNGONOKA Siwezi(Manaa Ndio chanzo cha kujenga Chuki dhidi yangu) Istoshe nitamuumiza maana hata chembe ya RESPONSE toka kwake kuna kuwa hakuna(Yaani mkavu kama jiwe(Hata ningelamba na kuipaka mafuta papuchi yake)