Ndoa yangu ipo mashakani

Du check kitaalamu izo kinga za mimba nashindwa kumhisi kama anatoka nje angekupa tu hata siku mojamoja kukudanganyia kama kweli upo ivyo wewe ni mwanaume wa kuigwa isee.
 
Binafsi nahisi kuna mengi yaliyojificha hapo kwako na hukuwa tayari kuyaeleza kiunagabaga ili usaidiwe. Kuwa muwazi watu wakusaidie, haiwezekani kwa mwanamke aliye katika ndoa kukaa zaidi ya mwaka bila kuchovya. Otherwise kuna lijibaba lina utaalamu wa kumsugua mkeo zaidi yako thats why anasema kachoka kila mara maana linaweza likawa linampa dozi ya siku moja mkeo akachoka mwezi mzima.
 
dah too naive !too much!
nikwambie kitu TUPO WANAWAKE AMBAO TUNATAKA THE OPPOSITE OF THIIIS TYPE OF A MAN!
too way naiiive!tooo much!
nahs mkeo anaimisuse hii!badala ya kukusaidia!
 
dah too naive !too much!
nikwambie kitu TUPO WANAWAKE AMBAO TUNATAKA THE OPPOSITE OF THIIIS TYPE OF A MAN!
too way naiiive!tooo much!
nahs mkeo anaimisuse hii!badala ya kukusaidia!

usimtie moyo bhana huyu mdada alitaka ndoa tu lkn hakutaka mwenza huyu bwana hakulijua hili.
hivi eti mwaka mzima hataki uroda??............... khaaaaa!!!!!!!!!!!!!
uwiiiiiiiiiiii labda nitakuwa nimekufa
 
af wewe!
subiri kwanza ngoja tumalize hili!
A miaka nane kweli?mwanaume hakuwa na kitu chochote kuwa bidada alifata kitu!
hicho nilichoandika hapo ninaweza kukitetea
huyu bwana kaka ni aina ile ya wanaume wa kutaka kuonewa huruma,(no offense)lakini ukweli hii ndo personality yake!
imagine mtu anakuomba tu msamaha huna hata kosa
anakuimbia mapambio
anakuoshea vyombo wakati we umeenda saluni kubandika kope
anakulilia
anakuongelesha (kuongelesha sijasema kuongea nawe)unakuwa na nguvu ya kumjibu anakuchosha
C'AMON!!!
 
Kutokana na maelezo haya basi ana tatizo la kiroho anahitaji kuombewa manake ziko roho zilizo kinyume na ndoa so anza maombezi. Hebu muulize kama anaona wanaume wote ni wanyama je kwanini aliolewa , haoni kwamba alikosea. Jitahidi kumuonyesha ukubwa wa tatizo alilo nalo na ashirikiane nawe ktk kuliondoa. Mungu akusaidie ktk hili lkn nina imani kubwa atafunguliwa na atakua huru. Ukishaanza huduma huduma utashangaa sana kwani mkono wa Bwana ni waajabu sana.
 
usimtie moyo bhana huyu mdada alitaka ndoa tu lkn hakutaka mwenza huyu bwana hakulijua hili.
hivi eti mwaka mzima hataki uroda??............... khaaaaa!!!!!!!!!!!!!
uwiiiiiiiiiiii labda nitakuwa nimekufa

Kitu kimoja ambacho hajakijua. Kitu cha kwanza muhimu sana katika ndoa ni kumemegedana. Kama chakula hata magengeni kipo. Mi wife akijaribu kuninyima hiyo makitu ndo kanipa tiketi ya kumtafutia msaidizi, na kwa hilo naamini Mungu hanihesabii dhambi.
 
Mambo vipi habari za siku nyingi. Jamani uthimwambie hivyo mwenzio thio vizuri , haya lkn mi simoooooo
 
Dhambi ipo pale pale usijustify.
 
usimtie moyo bhana huyu mdada alitaka ndoa tu lkn hakutaka mwenza huyu bwana hakulijua hili.
hivi eti mwaka mzima hataki uroda??............... khaaaaa!!!!!!!!!!!!!
uwiiiiiiiiiiii labda nitakuwa nimekufa
Halafu anaonyesha mjeuri flani hivi. Yaani haoni kabisa kama hili ni tatizo huenda kuna kitu nyuma ya pazia sisi hatujui. Sipati picha mwaka mzima mmmh.
 
Jichunguze nawewe huenda hauogi ckuhizi hawezi kukunyima hivihivi ! Ah umeniamsha ntaendelea kesho ngoja nlale kwanza!!!

Ha ha ha ha ha LMAOOOOOOOO!! mama watoto you have killed me........haa na wewe kumbe unaropokaga kama mumeo? CC Hamidini , Madame B munamuona huyu mwanamke washenga?teh
 
Damn it!!!
AND YOU ARE YET A MAN!!!!!!!!!!!!!!!!!C'MON BRO!!

Unahitaji huruma kwa mwanamke/ mke?
Eti namwimbia mapambambio..........................., does this make you to be a real man?

DUDE!!!!!!!!!!!!! YOU ARE POOOR,

ACHA KUTAKA HURUMA KWA MKEO ACHA KUMSEMEZESHA TAKA MSEMEZANE, ACHA KUTAKA KUOMBA TAKA MUOMBANE HUO NDIO UANAUME....................

Ngoja kwanza nitoke nawahi kete zangu kwa mzungu!!!!!!!
 
This might be true.
 
waende kwa Baba Paroko ikishindikana wamuone MziziMkavu anaweza kuwa na dawa
 
kuna mtu mmoja tu ninayemjua anayeweza kuwa kaandika maneno haya!
mmmoja tu hata we si unamjue ennh?
msalimie mzungu!!
ahahhahahha got yu gal!
 
Mambo vipi habari za siku nyingi. Jamani uthimwambie hivyo mwenzio thio vizuri , haya lkn mi simoooooo

nzuri pacha ake dada kubwa!
ah mi si wanijua msimamo wangu linapokuja hili likitu la maloveeee !
 
Hapo kaka unamegewa bila kupepesa macho
 
mwali ndo mana nikasema huyu kaka alilazimisha penzi tuuu hakukuwa na upendo wa dhati..........
ukimwona mwanaume anataka huruma ya mkewe huyo sio kabisa.

kwanza kosa la kumnyima uroda ni kosa la kutosha kumletea bi mdogo humo humo ndani..........
muda mwingine usiwe mpole sana hadi mtu akasimama juu ya kichwa chako
yapasa kuwa mwanaume wa kweli uanyejiamini na mambo yako...........
 
Halafu anaonyesha mjeuri flani hivi. Yaani haoni kabisa kama hili ni tatizo huenda kuna kitu nyuma ya pazia sisi hatujui. Sipati picha mwaka mzima mmmh.

kwanza atuambie hivi mkewe ana nyege ama hana??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…