mbishi wa wabishi
Member
- Sep 27, 2013
- 8
- 6
Mimi ni dada(mama) nipo kwenye ndoa yapata mwaka sasa,na nina mtoto wa mwaka,tatizo langu kwa kweli sina hamu kabisaaa ya tendo la ndoa,yaan mume wangu akkihitaji yaani naona kama sijui mzigo gani.kwa sababu hata tukianza kujamiiana mwenzangu anahangaika japo kunihamasisha,lakini bado nachelewa sana kurespond,mimi sielewi nini tatizo kwangu,sasa naona ntampa sababu mume ya kunikimbia kwakweli, naomba msaada wana jf