Mama paradigm
JF-Expert Member
- Apr 17, 2010
- 325
- 592
J
NDOA ZOTE ZIPO HIVYO
wewe sasa anza kutafuta hobby na wewe
fuatilia tamthilia kama wenzio..
mpaka aone unamsahau...
Luluka wala usiogope mdogo wangu mara nyingi wanasema uvumilivu ni kitu muhimu sana kwani kuishi nyumba moja, kushare kila kitu na ile hali ya kujifunza kuwa kitu kimoja si kazi ndogo ati.......Hasa miaka ya mwanzo mwanzo. Wengi wetu uvumilivu darasani tulipata zero na ukiangalia migogoro mingi ya wanandoa hutokea ndani ya miaka miwili mpaka mitano ukiwezavumilia kwa kuamini kuwa ni katika kujuana na kuelewana vema mbona utayashinda?!Mmmmmh!mna2tisha ambao ha2ko bado kwenye ndoa!!kwan ndo zilivyo kweli??
Kwanini wanawake kila siku hadi tuanzwe? Akiuchuna we lianzishe mama. Vunja ukimya.
wataonekana wahuni au waasherati.
Mwanamme anatakiwa awe na haya.
Haha Da Mkubwa si wanasemaga men want A woman in public but fr......... in bed?! Au hata wao wenyewe hawajui wakitakacho?
NDOA ZOTE ZIPO HIVYO
wewe sasa anza kutafuta hobby na wewe
fuatilia tamthilia kama wenzio..
mpaka aone unamsahau...
Mamii ni mapito tu hayo try to spice it up kwa kufanya yale ambayo ulikuwa unayafanya enzi za uchumba au kabla hujapata mtoto. Pengine na mumeo naye analia hivi hivi. Vunjeni ukimya usisubiri akuanze!