Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,593
- 17,552
Usiwe kigang'anizi. Wanawake (mkeo) mapenzi yao ni all about feelings. Zikikata hata umfanyeje hawezi kuinjoi.Mkuu a marriage is a shield against all odds...
Afu isitoshe huyu ni mkewangu sio mwanamke tu
hahahah mtoto akililia wembe?Pole Sana mkuu. MPE anachokitaka huyo mwanamke ila trust me atakukumbuka siku moja. Unavyoendelea kuvumilia vituko vyake anazidi kukuumiza Mwisho aje kukuua kwa stress bure.
Utaishia kuwa mtu wa mapenzi na yatakuumiza sana, huyo mkeo inaonekana hizo tabia alikuwa nazo kabla hata hamjaoana. Nakushauri uanze maisha yako bila yeyeKama kichwa cha habari hapo juu...
Binafsi nipo kwenye ndoa takribani miaka mine na tumebarikiwa watoto wawili...
Changamoto zilianza mke alipohamishwa kikaz mwaka juzi moro...kutokana na ukaribu nikawa najituma sana kutwa kwenda afu isitoshe huyu mtoto wa pili alikua mwaka mmoja...umbali ukasababisha mimi niwe mnywaji kidogo kuondoa upweke kuliko niwe nachepuka...nikawa napunguza safar za kwenda weeknd..yeye akazidisha mahusiano ya simu na mfanyakaz mwenzio(sijui kama walitembea ila nilijua wanauhusiano baada ya kunasa chat maana ilifika kipind anajua weekend nalala ndo anakua busy kwa simu wakiongea na huyo mpaka nivo mbana na chats aka admit wanamahusianp via simu na huyo mtu yupo dar)
Najitahid kusummarise maana iliendelea mpaka siku moja nikaenda moro gafla nikakuta anachat nae bado na isitoshe kuna mwingine wa moro..nilimdunda hatari..tukasuluhishwa na familia baada ya hapo kila tukikwaruzana kidogo anakimbilia kusisitiza tuachane bwana ndo ukawa wimbo..
Sasa nikaona kuondoa usumbufu na yeye kuhamia dar aligoma kwakusema maisha nafuu moro..nikatafuta kaz moro nikahamia na mimi moro(nilipata kaz half the pay ya dar) ila nilimweleza la msingi tuwe pamoja tuweze nusuru ndoa
(Haya yote miezi miwili tu nilikuja na kupata kaz mwanzon wa mwaka huu )...
Sasa tangu tumeamua kukaa pamoja mambo hayajawa mepes mimi na cover basic needs kama kawaida yangu na napambana na biashara ila mwenzangu amekuwa amepotea kabisa kimapenz..tangu mwaka huu tunaweza kuwa tumesex si zaida ya mara 15 am sure..maana mwenzangu hayupo kabisa anaona nimembana sana kila kitu anatupia lawama nivomdundaga na matatizo ya nyuma..nimejitahid kumpa space sana ila naona kitu kidogo anakimbilia nataka talaka nk..
Sasa ilichonipelekea kuandika uzi huu..majuzi nilimwambia naenda dar maana alikua yupo moody sikujua mayb ni mimi au lah nikamwambia tu nasafar ya dar week nzima
Ase alifurahii sana ..safar ilikua ya siku mbili nikarejea jion namtafuta kwenye simu akawa hapokei alivyotoka kibaruani..jiran yetu ni mfanyakaz mwenzie akarud tukapishana nikamuiza vp shoga yako akasema tumeachana amesema anapita sokoni mara moja (nikaona very rare kutorud na shoga yake) wife akanitumia mesej akasema ametoka outing na shoga zake
Nikasema fine )
Mimi nikanyuti nje mtaa wa pili kuona nani angerudi nae (kuna gar ikaja ikapak kwa jirani ikakaa dak kama 15 akashuka afu gar ikaondoka )
Alivyoingia ndan nami nikamfwata kwa nyuma
Akashtuka sana..nikamuuliza nani akasema rafiki yake tu walienda pata wine)
Tukaingia nikamwambia naomba uwe makini tu kuna maradhi nk. Ila kama tumefikia huko naomba basi uwe na amani ufanye yako na si mbelen hapa kwangu..afu isitoshe tuna watoto wadogo usilete jazba kwenye haya mambo(maana tulivoingia ndani akaanza kuwaka kama simuamini alivyosema yupo outing nikamweleza outing sio issue ishu umetoka huko mkaweka kambi kwenye gar mie nawaona tu mnapiga story hamkumaliza huko outing)
To mypoint: nimegundua hana mapenz kwa sAsa ma amini nawaambia nimevumilia sana vituko vyake ila nawaza niwashirishe wazazi wake na wadhamini wetu nataka niwachukue wanangu nirudi dar nimpe nafasi tu
(Samahanini naandika kwa kuruka ila hadi naumia yani)
Note
-jaman mkewangu ananiuma sana kila nikikumbuka nilivyompata!mahusiano yetu nk...yeye ndo alikuwa kipaumbele kunitia sana moyo pale nilipokwama au kusita jambo..(hii naandika kwa majonz sana)
-umri wake haujazi 30 bado kuna mda naamin alingia ndoani akiwa mdogo sijui kuna mambo hajafanya nk..ila mimi ni mtu wa kuwa huru sana namwambiaga nishirikishe nikupe kibali sina hiyana wala nini..cha msingi ni imani tu kwamba hatavuka mipaka
-swala la uwezo sijalitilia uzito maana yeye binafsi anakaz na mshahara wake kwakwel huwa simgusiagi hata kidog anafanya atakavyo
Mimi nina nyumba dar ndo nimepangisha kuja kuishi naye huku
Inshort majukumu yangu nayajua na nayamudu
-swala la kitandani lilikuwa zuri tu sote tunafurahi nk. Mwaka huu lilianza kususa sua penz la kubembeleza yeye ata enjoy ila mpaka nimemuanda nimemkomvins mbona shuhuli
-kwa upande wangu sio mnywaji sana na anajua..nikinywa tu wine nikiwa nae ntajitahid kumueleza kiu yangu juu ya mambo ambayo hanitimizii hapo nae atarukia si uniache nk bas mkibishana atasema mlevi tatizo nk...
-unakuta weekend ndo tunakaa na kujadili mambo ila mara chache sana maana katkat ya week akirud home ye kachoka ni kula kulala tu
-mimi ni mwanadamu pia naweza kuwa namapunguf yangu ila all i know kuachilia mbali kila jambo nimekua nikijitahid kuomba msamaha napokosea nk. Ndugu zangu ndo wanaona nimekamatwa kwel kwel ila nakua najitahid niishi ki maadili mana mke mwenyew mmoja
Anapendeza namuhudumia nk ila kwa sasaa nimesali sana mpaka nimeona kama ni watoto hata nikisema nimpotezee nitahitaj kuwaona wanangu ambapo itapelekea nimwone labda na yeye nk kitu ambacho mda mwingi kinaniwia ngumu kuvunja familia
Ila nikisema nibebe watoto(namjua kwa sasa majibu yake atasema nenda nao tu la msingi tuachaneee nk) ntabeba ila nataka niombe nisinge penda kusikia pua yake na wakwe ndo watakua gia ya kuwaona nina taka full right ya wanangu nina uwezo wakulea vizur )
Yani naumia sana ila naona ndo best option kwa sasa
-kama hujaoa olewa na hujanielewa naomba nisikukwaze maana ntakusababishia povu
Dah kweli mchumba umeona majanga tunayopitia sasa, jitu unalipenda vibaya mno na kulijali ila ndio sikio la kufa kashapigwa miti na mluguru kamsahau mume!Kweli mkuu mateso Kama hayo kwenye ndoa ndio yanaua wanaume
I LOVE HARD KNOCKS COUNSELING!!Usiwe kigang'anizi. Wanawake (mkeo) mapenzi yao ni all about feelings. Zikikata hata umfanyeje hawezi kuinjoi.
We achana naye mwache aishi maisha yake. Kwanini uwe kikwazo kwa maisha ya mwenzio eti kisa ndoa?;?!
Kakukimbia Dar, ukamfata Moro, why this?
Watoto wappo na utawakuta.
Ukiendelea kugang'ania utayiliwa sumu ufe umpishee.
Kusema kweli, we ni bonge la boya. Mkeo analetwa na gari 15mins unawachungulia tu?;?! Tena usiku? Wamelewa? Na wewe mkeo alijua haupo?
Kwani vioo vya gari bei gani?!?!!
Zuzu saaana.
Mkeo eti anakwambia usiwe unachunguza vitu vyake nawe unasema samahani, kenge kweli. Vittu vyake vyenu??
Yaani nna hasira utadhani me ndo babako.
Kulialia ni ujingaa.
BAADA YA KUSOMA POST HII. MPIGIE/MWAMBIE HUYO MWANAMKE KUANZIA LEO SIO MKEO, NI MZAZI MWENZIO.
NAJUA UNAOGOPA KISA ULIMZOEA, ULIVOZOEA KUWA NAYE, NDIVYO UTAKAVYOZOEA UPWEKE.
NB: BAADA YA KUACHANA NAE, USIKURUPUKE KUJIINGIZA KWENYE MAHUSIANO MAPYA WALA KUNYWA POMBE, KOMAAA NA MAUMIVU MPAKA UHISI KUFA, HUO NDO UANAUME
Narcissist ndio wana hii tabia, emotional controllers! Anakukosea kisha anakugeuzia lawama kwamba wewe ndio chanzo cha kumkosea! Wengine Ukiwazidi pointi huenda mbali na kuomba msamaha ili wakurudishe back to square one waendelee kukutesa!USIKUBALI MTU ALIYEKUKOSEA KUKUADHIBU KWA REACTION ULIYOFANYA BAADA YA KUKUKOSEA!!
kingine BRO!!
KUBALI ITS DONE,DONE AND DONE!!
MPE ANACHOTAKA!!
ANZA NA ARIFU NA UJITI!!
MAISHA MAFUPI SANA HAYA KUHANGAIKA NA HISIA ZA MTU ASIYEKUFEEL!!.
NDOA IKISHAFIKA HAPO HUWA MILELE HAIRUDI ILIVYOKUWA MWANZO!!
Mbaya sana!!Narcissist ndio wana hii tabia, emotional controllers! Anakukosea kisha anakugeuzia lawama kwamba wewe ndio chanzo cha kumkosea!
Kweli kabisa, mwanamke kuwa malaya ni asili,,aheri umuache tu maana aliosemaga ule msemo wa wanawake kama maharage ya mbeya alikuwa na akili timamu sana!Utaishia kuwa mtu wa mapenzi na yatakuumiza sana, huyo mkeo inaonekana hizo tabia alikuwa nazo kabla hata hamjaoana. Nakushauri uanze maisha yako bila yeye
Mpumbavu sana huyo mwanamkeMkuu pole sana
Huyo mwanamke mapenzi yameshaisha kwako ndio shida za kutokula ujana enzi za usichana hizi ukiamua kuingia kwenye ndoa ushamaliza kila kitu unatulia na ndoa yako hakuna cha kukusumbua
Huyo sasa hivi anajiuliza alikuwa wapi siku zote hajakutana na raha hizo anajuta ata kwa nn aliolewa pole sana mkuu
Mpe akijikata atajifunza.. Mkataa pema pabaya panamuitahahahah mtoto akililia wembe?
Ndio kitachofata halafu itakuwa too late!Baadhi ya wanaume wanazaliwa wako waaminifu kabisaa lakini kutokana na matendo ya wanawake ndo wanaamua kuanza umalaya sasa .....Pole sana kakaangu kwa kifupi huyo mwanamke ameshakengeuka akili zitamrudia mkisha achana!!!!
Kweli mpenzi mnapitia mengi halafu nyie mnajua kuvumilia shida hizi bila hata kutoa chozi ila mnaumia ndani kwa ndani..Dah kweli mchumba umeona majanga tunayopitia sasa, jitu unalipenda vibaya mno na kulijali ila ndio sikio la kufa kashapigwa miti na mluguru kamsahau mume!
Mkuu to be honesy kila nikifikiria hii road naumiaga sana na niombe niwe imara kwa hili
Kuna siku nilikuta vyakujipimia ngoma anavyo..niliishiwa pozi kumuuliza nilisubir tupo outing tukiwa tume refresh nikamuuliza angependa tukapime sote maana nilikuta kachukua hatua mwenyew maana sijajua kama either mimi nilisababishia ahofie au yeye tu mwenyewe aliniuliza umeaza lin kupekua vitu vyangu..nikachoka