Ndoa yangu ipo ICU !dah

Unataka kufa? Wewe ni wa muhimu zaid kwa nduguzo na watoi, be ingenuine bro. Utakufa siku c zako
 
We jamaa nina wasiwasi na ww,naona kama unataka kuifanya fursa hii?
 
Dah umenkumbusha wakati nipo na mrembo fulani hivi ambae nilimpenda kupita maelezo but kupewa tu offer ya kwenda kusoma,akaanza kuchange na ndani ya miezi 6 tu akanipotezea mazima,nakumbuka nilimtamkiaa neno moja tu"UTANIKUMBUKA"basi miaka mi 4 ijayo napokea simu yake but skumjua akajitambulisha kwa jina lingne best yake basi ile kumeet ni yeye dah kachoka vibaya mno,na anakatoto juu kazalishwa na mruga ruga gani sjui,basi nkaongea nae fresh na kumsamehe then nkatoa simu nkaivunja vunja na line nkaichoma na kibiriti cha gesi pale pale then nkaondoka zangu.
Last 4 weeks walimzika sababu ya kunywa sumu kwa msongo wa mawazo
Wanawake huwa wanadanganywa mno kwa mambo madogo tu ambayo hufanya kuumiza wenzao but mwisho wa siku maumivu hurudi kwao na kuwaumiza mara elf
 
UPDATES....

Habari ndugu zangu JF...
Jumapili tulivu nikitokea church hapa misa ya kwanza kabisa...niliwahi na huyu mwanangu mdogo...nikasahau kumchapa pampers mana niliamka na mzuka wa kazi nikamwambia dada wa kazi aniandalie nguo tu na maji
Ntamuogesha mwenyewe nk ...kanikojolea usingizin church mpaka nimeishiwa pozi ase...hahaha ila burudani alipoamka kakaza sura namwambia umejikojolea kakana kwa sauti huku kanuna sijakojoa mimi😂...

Back to the topic...
Wakuu mimi ni mwanadamu na pia nina mengi kujifunza katika hili na nakiri kwa asilimia kubwa sana kubwa sana ushauri wenu umenisaidia sana tena sana kukubaliana na ukweli maana amini nawaambia tunaweza tukasema yote ila naamini kuna wengi mmenitangulia na ushauri mnaotoa ni from vivid life example...

Kuna mda week hii ninawaZa hivi labda aliteleza sijui (kutokana week hii namuona kakosa amani anajitahid kuniongelesha n.k na hata kutuma mesej za kawaida namjibu short tu mana tangu nimemblock whatsapp ni tabu)..ila nikikumbuka wadau ushauri wenu humu kwamba haya mambo yapo nisijitie kipofu na mawazo basi kidume nasali tu Mungu naomba nimalize salama hili natafuta zangu usingizi sebleni mdo mdo...

Anajua navyopenda mpira na huwa na enjoy sana kucheki boli indoor afu dak ya 80 huwa ndo natoka kuumalizia maeneo na washikaji...sasa safar hii boli kuanzia preview analysis linanikutia nje...jana mchana nilitoka kwenda kuchek la man u...nikarud nikapita saloon kunyoa nivorud nikamkuta nikasalimia nikapitiliza bafuni nikaoga nikajiandaa nikatoka mapema tena nikamwambia naenda mpirani(game la liver)
Nimetoka tu akanipigia mbona mechi bado haijaanza naona hapa ndo kwanza wana discuss..nikajibu tu nataka kubeti nasikiliza watabir !akashangaa!tangu lini nikamjibu badae kidog nikakata(yani inshort sasa hivi tangu nimeanza kukubaliana na hali halisi najihisi moyo unapumua vizur na najitahid kumuepuka sana...

Mlitoa ushauri wa kuwa makini naweza hata tiliwa sumu wadau mimi nimuoga sana wakutangulia kizembe ni waache wanangu...bas sikuiz jion nabeba kitu namwambia dada anipike chap nikirejea au nakaangiza mwenyew...

Maamuzi niliyofikia ni kwamba krismas hii ntamrudisha kwao...nimeshaongea na pande zote mbili la msingi sitotaka familia upande zote mbili sishauri tuvumiliane wakati mwanamke katamka sana tuachane...

Nafanya hivyo kuka na familia kwasababu wakuu nilioa huyu bint kihaki kabisa nilikabidhiwa kabisa ntamtudisha kama hivyo kiungwana.

ILA... Sitaki wanangu awachukue.
Nataka atoke aende zake na kila kitu akitakacho ntampa ila sio watoto(hata nyumba akijiwehua kulopoka mana akili zake anazijua mwenyew kwa sas)...

Mimi ndo last born kwetu nina kaka zangu wawili
Mama alifariki nikiwa na miaka minne tu..mzee wangu alishauriwa sana aor aligoma kwakutuonea huruma bado wadogo esp mimi...na hakuoa mpaka anafariki...aliniambiaga kitu utakapo maliza shule ndo ntaoa(alikua na mpenz wake tunamuita mamdogo kwemye family gathering walikua pamoja nk ila hakuwahi kulala nyumbani nadhan walikuwa wanahook up kwa mamdogo )i was too young to analyse ila kaka zangu ndo niliwasikia wakiwa wana anyicipate scenerio zote...
Nilipoanza kaz mwaka wangu wa kwanza kazini natimiza ndo nikapata mchumba huyu mzee akaandika barua ilatukatoa mahali nk akafariki...
Ila he was very happy mana alisema adi wewe unaoa mie sijaoa ase kweli sasa kazi yangu duniani imeisha nikapumzike na mwenzangu peponi (utani utani kweli )

Nasema haya namini wanangu ntawalea vizuri sana Mungu atanipigania hili na hata marehem baba yangu alipo atafutahi na kuamini i am everything like him as i wished when it comes to being aparent.

back to the topic
Huyu sas hivi naona anajivisha sana ngozi ya kondoo sijui anaona maneno yake yanataka kutimia nk
Ila ndo nimeamua
Kama ananiona sifai kwa sasa aniache tu i will reach for the stars in Gods favor...

Yani nilianA kuzeeka najiona ase
Inabidi niji pimpu maana am very very on point ase😎😎😎...

Guys thanks alooot...
Mmefanya kazi ya Mungu
Na ndugu zangu tuliokutana PM
Mbarikiwe sana laMa tukeep intouch na mbarikiwe sana kwa moyo mmoja
Hamjanuangusha na kuniacha nipotee mlipohis nalegeza kamba.

Nikihisi sielewi taswira au nalegeza kamba ntawakimbilia mnipe muongozo
 
Mkuu..... Kwanza nikuhakikishie...

UMBALI UNAUA MAPENZI....ni mwanamke pekee mwenye sifa izi hatoruhusu umbali umharibu
[emoji117]ASOKUNYWA POMBE.... Utafiti umethibitisha kua Mnywaji wa Pombe nirahisi sana kusaliti.
[emoji117]MCHAJI WA MUNGU
ukuoa dem ambaye hamjui wala hamchi Mungu........Utagongewa tu
[emoji117]ASOPENDA STAREHE
mwanamke anayependa starehe kiasi cha kuipenda Outing et namashoga ,Huyo ni Kipindupindu.

NINI UFANYE MKUU???

[emoji117]Kuanza Upya sio ujinga...... Ipo ivi MOYO WA MWANAMKE UKISHABADILIKA, BASI HAPO HAMNA NENO LA MWANADAMU LITAKALOKAA LIMBADILISHE HATA SIKU MOJA.

[emoji117]Ni MUNGU PEKEE AU MWANAMKE MWENYEWE KUAMUA KUBADILIKA.

[emoji117]ANZA UPYA ... How????
Mpe Nafasi , mpe nafasi aone umuhimu wako, mpe nafasi ajue Umuhimu wa Ndoa.

[emoji117]Si mmezaa???? NIAMIN, HUYO MCHRPUKAJI WAKE NI ANATAKA KUMTUMIA TU WALA HATOKAA AMUOE HATA KAMA MTAKUA MMEACHANA, SABABU ANAJUA KAMA AMEWEZA KUKUACHA WE MLOZAA WATOTO WAWILI, ATASHINDWA NN KWAKE?????? LKN PIA ANAJUA NI HAWEZI KUOA MWANAMKE MWENYE WATOTO WAWILI.

[emoji117][emoji117]nini kitatokea????? ...Jamaa atamtumia, kuna wakat atachoka na usikute uyo jamaa naye anafamilia, mwisho atamuacha...HAPO NDO MKEO AKILI ITARUDI NA KUJUA UMUHIMU WAKO NDANI YA NYUMBA..HUO NDO MUDA ATAKAOKUMIS NA KUKUHITAJI, HUO NDO MUDA ATAKAOWAMIS WATOTO NA KUHITAJ KUWAONA WAKIWA MBELE YAKO.

[emoji117]KAMA UNAMPENDA.... USIVUNJE NDOA....bali amua kama mwanaume, kuka na wanao tu, kisha ukate mawasiliano naye, ndioooo ukate sababu 'Anakazi na mshahara na anayempa kiburi".

Kwasababu ninaamin 100% ATARUDI....ndo sasa itakua nafasi nzuri kabisa ya wewe sasa kumfanya unavyotaka,ukitaka naww umuumize niww.


NIAMIN, ATARUDI MKUUU....IPA ATAKAPORUDI NIWW UAMUE UNAVYOTAKA.

[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]USIKAE UKANYWA POMBE, POMBE HAIONDOI TATIZO BALI INATOA MAELEZO YA UONGO KUA TATZO HALIPO NA NIKWA MUDA MFUPI.

RUHUSU HII CHANGAMOTO IKUPE ROHO NGUMUUUUUUUU ...AISEEEE UTAJIKUTA IMEKUA NA MAISHA YA FAIDA.


[emoji48][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]ACHA KABISAAA KUFIKIRIA MAZURI YAKE, ACHA KABISAAAAAAAAAAA, NIHERI YA KUUKUBALI UBAYA USOKUUMIZA, KULIKO UZURI UKUUMIZAO.
 
Dah wadau ngoja nipumzike
Mana natype nalia natype nalia
Yan kama mtoto vile
Mmmh hatayote wazazi hawajui? Pole ntapata picha unavyoumia, kabla hujapata ngoma, achana nae, wajuze wazazi wake kwanza, pili chukua watoto wako rudi dar, piga kimya.
 
Hapo ndugu chukua maamuzi magumu. Pengine kuna makubwa zaidi yatakutokea ukiendelea kumng'ang'ania.

Kisicho riziki hakiliki. Utaokota na matatizo ambayo hukuwa kuyafikiria bure
 
Dah Unatafuniwa msela, Inauma sana Ila naweye umekaa tu? Kama ni mimi tayari ningelikua nishamfua rinda
 
Kaka mapenzi hasa hisia hazilazimishwi yani hapo unaweza pata matatizo zaidi ,kama mwanamke mwenyewe kakuonyesha hivyo vyote ,chukua hatua achana naye we sepa na wanao
 
we muache kama asemavyo ila nakuambia atarudi tu huyo mwenyewe na utashangaa sasa itakuwa kazi kwako kuendelea nae au kumpoteza.......! ila nakushauri pia hata kama ukamuacha usichukue mwanamke mwingine karibuni hii coz utachagua mwanamke sababu ya hasira tu au kukulelea wanao ila si kwa kumpenda......remember most women have the eyes but they don't see.....have the ears but they don't hear and understand
 
HALLELUYAAAA....
 
kwanza nikupe pole sana mkuu kwa unayopitia maana inaonesha hata huu ujumbe umeandika kwa uchungu sana...sasa kama we ni mfuasi wa yesu kristo rejea kwenye maandiko pale yesu aliposema na mume asimuache mke isipokua tuh kwenye swala hasa la uasherati au uzinzi kwa maelezo yako inaonesha wazi kabisa mke wako ni pepo la uzinzi na uasherati ndo linamsumbua ndo sababu kubwa za kukupotezea kwa kifupi amekuchoka yanii sasa hapo cha msingi usikumbatie uvundo utakunukia mwisho wa siku..mi nikushauri tuuh mkanye ukiona hakanyiki piga ngoma chini kwani sh ngapi..?watoto sepa nao ila usizuie mahusiano baina ya watoto na mama yao kutembeleana ruksa..
 
Mkuu...hata mimi kuna my friend kahamia dodoma huku mke wake akimwacha dar..sasa kila siku ana wasiwas kua jamaa watamla
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…